Recent content by dullydon

  1. D

    JamiiForums Tanzania My playlist

    Chonde chonde wazee msituchokoze M dj wa zamani ohooo, wananiita Mzee wa Way back Master. Sasa me nakudondosheeni ngoma 5 tu za watu wabaya, hapo hakuna demu 1. Donel Jones _ this luv 2. Joe Thomas _ don wanna b a player 3.kci & Jojo_ one last time 4.Tyrese _ how u gonna act like that 5.jagged...
  2. D

    JamiiForums Tanzania NI ZIPI TARATIBU ZA KUFANYA KABLA YA KUTENGENEZA MUSIC VIDEO COVER?

    Habarini ndugu zangu, napenda kujua hasa ni kipi cha kufanya au ni taratibu zipi ama njia salama za kupitia kabla ya kufanya video cover ya nyimbo ya msanii yeyote yule hapa Tanzania? Mwenye kuyajua haya naomba ayatanabaishe hapa . Ahsanteni
  3. D

    JamiiForums Tanzania REGGAE MUSIC Special Thread

    Reggae huwa inanipa punguzo la stress za life. Huwa inakuja peace nikiwa naskiza hizi ngoma zenye ujumbe wa uhalisia. Na ndio maana ukiskiza Reggae kama itakuwa nyimbo ya mapenzi basi hawa jamaa walikuwa na maneno ya kihisia kabisa kabisa. Yaani unaona kabisa love iko karibu ya macho yako...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wapenzi wa muziki tubadilishane nyimbo hapa

    Nisaidie kuupata
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe makundi ya wasanii hapa TZ waliobamba na wimbo mmoja kisha wakapotea

    [emoji15] [emoji15] [emoji15] pamoja mzee baba
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe makundi ya wasanii hapa TZ waliobamba na wimbo mmoja kisha wakapotea

    Nakukubali. Naijua hiyo nyimbo nadhani me ndio niliitaja hapa. Kazi yako hii naikubali mpaka kesho
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

    Mbele kwa mbele_dj yusuf Baab kubwa_ planet 2000
  8. D

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Nyimbo kali za Bongo Fleva Zilizotamba zamani

    1. Tunanya kazi- juma nature ft k south 2. Fagio la chuma 3. Naskia utamu_ the bugz
  9. D

    JamiiForums Tanzania PS 4 Slim brand new

    Ps 4 slim Full box Pad 1 Rangi ya gold Gb500 950,000
  10. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu fani yangu ya upigaji picha na uzalishaji video

    Nampata wap au yupo humu?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu fani yangu ya upigaji picha na uzalishaji video

    Nilidokezwa niandae vipindi vya video kama producer. Actually vifaa vya production ninavyo na nina camera man na editor. Maisha yamekuwa magumu nafanya video za maharusi nk lakini it take so long kupata dili jingine licha ya matangazo ninayofanya kwa mitandao ya kijamii. Naomba mnishauri...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mchiriku: Hisani Musical Club (Gari Kubwa)

    Mwenye kuhitaji nyimbo za hisani aweke namba yake nimrushie whatsapp
  13. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua aloimba hii singeli na jina la nyimbo kwa ujumla

    Sawa sawa huo wa kilwa unaitwa nachekacheka kilwa leo. Niliupata mzee respect!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua aloimba hii singeli na jina la nyimbo kwa ujumla

    Daboma wanaitwa
Back
Top Bottom