Recent content by dullah lakumo burra

  1. dullah lakumo burra

    Oman: Mtanzania auawa kwa kusukumwa toka ghorofani. Serikali yetu ipo wapi?

    Serikali ya Tanzania iko bize kufuatilia wanaowakosoa mtandaon
  2. dullah lakumo burra

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Dawa pekee kinywa halafu kakojolee ukuta wa msikiti au polisi post mchana.nadhani hamna dawa zaidi ya hyo
  3. dullah lakumo burra

    Mbeya: Mbunge Joseph Mbilinyi na Msonga waachiwa kwa dhamana, wamejidhamini wenyewe

    Kilichoendelea jana c mchezo wananchi walikuwa juuu zaid
  4. dullah lakumo burra

    Chakula cha mama Mdigo Ubungo Kibo

    Mnhhhhh mkuu mm nilikuwa naishi Vngngti Sheli na shughuli zangu n hukohuko vngngt ila ikifika muda wa kula mchana lazima nipande daladala nikale pale bugurun stend ya muhimbil na mbez.nilikuwa nafurahia ugali dona samaki.nilijaribu kujizuia kutokwenda ila nilishindwa kabisa.japo sikuwa naona...
  5. dullah lakumo burra

    Dr. Wilbrod Peter Slaa unaendelea kujiaibisha na kujidharaulisha kwa kusema uongo

    Hiv unajua ukisha kuwa mteule wa Magufuli akili za kawaida zinakutoka? Zinaingia akili za chuki uwongo unafiki bila kusahau uwoga wa kupoteza ugali.ndo maana hata unaona wakuu wa wilaya, mikoa, wakurugenz kwa kifupi wateule wote wamekosa mwelekeo wa uongozi bora.wamebaki na mapambio ya kumsifu...
  6. dullah lakumo burra

    Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

    Nilipanda na baunsa mmoja hiv kwa mara ya kwanza ndo anapanda alipoona watu wenye miili midogo wanabeba mizigo akadharau sana cku ya pili tulimrudisha hoi kakata pumz hajafika hata shira one
  7. dullah lakumo burra

    Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

    Mbaya zaidi ukitoka karanga kama ndo umeunga unapomaliza pale kilimani kuitafuta camp ya barafu huo upepo n shida mkuu
  8. dullah lakumo burra

    Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

    Ulijitahid mkuu jaribu tena utatoboa Uhuru peak
  9. dullah lakumo burra

    Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

    Hzo njia za Marangu na Rongai ni rahisi mno ni za viongoz na wamama.kidume pita machame, Lemosho, londrosi, au Umbwe, na kwa mbeba mizigo (mgumu)anatambaa na kg25 begani.
  10. dullah lakumo burra

    Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

    Ila mm huwa naona kupanda ndo rahisi kuliko kushuka chin
  11. dullah lakumo burra

    Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

    Hizo ndo zetu kaka tunapanda sana kwa mwz mara 2mpaka 3
  12. dullah lakumo burra

    Nimekaa na wasichana kibao nimeagiza chipsi yai wao wameagiza ugali naona aibu kula.

    Hata kama mnakaa dar itakuwa asili yako n hapo au uliingia dar miaka mingi iliyopita.tatizo huko joto linayeyusha damu inakuwa nyepesi na kulainisha ubongo.hivyo huathiri uwezo wa kufikir kama kidume.ndo maana wanaume weng wa dar wanavaa suruali chin ya makalio na visendo vidogo vya kike.
Back
Top Bottom