Recent content by Dulla Tawakal

  1. Dulla Tawakal

    JamiiForums Tanzania Nunua gari unayoweza kuihudumia na sio gari uipendayo

    Ushauri wako mkuu ...me nina vitz old model nimetumia kwa miaka 3 sasa na nimeimudu bila shida..sasa nilijiwekea akiba ya pesa ..Nimejikuta natamani kumiliki Toyota Rumion ...Naomba kufahamu je kutoka kweny Vitz old model mpaka Rumion.. kimatumizi na kuhudumia gari ...Naweza kufit? Au nimesogea...
  2. Dulla Tawakal

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Toyota Vellfire au Toyota Alphard new model haraka sana

    Wewe huzipendi kwanini mkuu??
  3. Dulla Tawakal

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahaha hatar sana
  4. Dulla Tawakal

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa magari kuhusiana na kasumba kwamba kuna gari mbovu au ina makosa

    Hata mm nina gari yangu vitz ..ina tatizo ilo ilo ... Mpaka leo sijajua shida nn ... Sa sijui uenda pia itakuw ni control box
  5. Dulla Tawakal

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mkuu naona ushauri ...gari niliyoanza nayo maisha ni vitz old model nimetumia kama miaka 3 ....nimepata mpunga mwingine ..nimeingiwa na hamu ya kubadilisha gari ...naomba ushauri ni ipi
  6. Dulla Tawakal

    JamiiForums Tanzania Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    DAAAAH nimecheka kifala sana
  7. Dulla Tawakal

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anapenda kulala Sakafuni. Je, ni tatizo?

    Mkuu iyo ni Tabia tu... Wala usitishike
  8. Dulla Tawakal

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nakubal sana mzee
  9. Dulla Tawakal

    JamiiForums Tanzania Tanga - Usiku Wa Manane

    Hahahaha
  10. Dulla Tawakal

    JamiiForums Tanzania Magari

    Brother mimi pia nimeingia kwenye ulimwengu wa ndinga ...nimepata vitz old model ,,ndo nimeanza nayo rasmi maisha ya kutembea kwa kukaa ...naomba uzoefu wako na Nasaha zako kwenye Kuichambua gari hii ...Ahsante nawasilisha
  11. Dulla Tawakal

    JamiiForums Tanzania Magari

    Daaah brother wewe ni smart sana ,,mungu akuweke
  12. Dulla Tawakal

    JamiiForums Tanzania Kioo kujishusha

    Ni kawaida
Back
Top Bottom