Recent content by Duke Duncan

  1. D

    JamiiForums Tanzania East Coast Team

    Wimbo unaitwa Hitimisho la misukosuko
  2. D

    JamiiForums Tanzania Lijue Kabila la Waluguru na utamaduni wao

    😂😂☝🏽 kukiongea sasa ndio shida mimi ila ukiongea nakuelewa kabisa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Membe & Co. hawammalizi kisiasa Rais Magufuli?

    [emoji848]
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya wanaume tuna roho za kishetani, leo mpaka nimetoa machozi kwa huyu dada

    Daah aisee huyo jamaa ana safari ndefu sana..duka litaisha na atapoteza kila kitu atataka kurudi kwa huyo mwanamke wa kwanza atakuwa keshachelewa.
  5. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tupeni mahesabu ya matumizi huko hospitali Nairobi

    Hizi pesa zinawauma eeh... jalini utu wa mtu kwanza mambo ya pesa baadae... omba nawe ukutwe na tukio kama hili ili unufaike na jamaa zako kama unadhani ni jambo jema
  6. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tupeni mahesabu ya matumizi huko hospitali Nairobi

    Waondoke ili iweje? Na una hakika wanaishi Nairobi kwa gharama za chama au michango? Mnapenda kushabikia vitu ambavyo hamna hata logic ili mradi ku support ujinga tu..
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nani anagharamia matumizi ya Lema, Msigwa na Mbowe huko Nairobi?

    Sioni mantiki ya swali lako mkuu? Kukaa jirani na mgonjwa kwanza kunampa faraja na kumfanya apate nafuu kwa haraka.. isitoshe sababu za kiusalama ukizingatia na tukio lenyewe, na pia gharama sio kitu kwenye uhai wa mtu...waza mbali zaidi
Back
Top Bottom