Recent content by Duke B

  1. Duke B

    JamiiForums Tanzania Wito Kwa Rais Samia, Usiingie Kwenye Mtego wa Udini Kwa Kukumbatia Maagizo ya TEC

    Watanzania wengi hawaelew ugumu wa maisha unaowatafuna unasababishwa na sera mbovu , na miakataba mibovu ambayo in deplet rasilimali zetu kwa kunufaisha mataifa ambayo yamejaliwa akili bila rasilimali, kama unatimamu unaweza fikiria dhahabu inayochimbwa nchini kwako inamnufaisha zaid mzungu...
  2. Duke B

    JamiiForums Tanzania Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

    Hata Dunia izunguke mpka ifyatuke Raisi kama Magu hawez tokea Tena , Wakili anaongea fact tupu ucdhan hakuna anae elewa wote wanaelewa vyema lakn shida hofu waaliojengewa wananchi wanaona kama vile hawan haki ya kuuliza kuhusu rasilimali zao, every Tanganyikan is fully responsible to inquire...
  3. Duke B

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wa jinsia moja achinjwa Uturuki

    Wakifanya fasta kuwatambaliza historia ya ushoga itaisha wajukuu zetu watakua safe na watakutana na uf**la mwingine na co uchaf huu wa kis*ng*.
  4. Duke B

    JamiiForums Tanzania Ajali ya kizembe Tabata

    Shame on u
  5. Duke B

    JamiiForums Tanzania Usomaji bajeti ya Tanzania Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2016/2017

    Serikal inatakiwa iangalie uzalishaji, ubora na viwango kwanza kwa hizo bidhaa zinazoongezewatozo za kodi ili kutoa nafas kwa viwanda vya ndani kuzalisha tofaut na hapo kila kila bidhaa iitageuka sukar na madhara yake ni kwetu wananchi masikn .
  6. Duke B

    JamiiForums Tanzania Usomaji bajeti ya Tanzania Wizara ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2016/2017

    Sina elimu lkn na Swal hivi sekta ya utaliii kwenye bajet huwa haiongelew?
  7. Duke B

    JamiiForums Tanzania Je, ni HAKI ya mtoto wa Rais kuishi Ikulu ndogo Chamwino ilhali chuoni kuna nafasi ya kukaa?

    Angekuwa hostel so mgekuwa tayar msha mvuta masikio kisa baba ake kawaita vilaza
  8. Duke B

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga atenguliwa Uwaziri baada ya kuingia Bungeni akiwa amelewa

    At least we are beginning to be serious
  9. Duke B

    JamiiForums Tanzania The path of transformation

    Awaiting of it
Back
Top Bottom