Recent content by Duka

  1. D

    Siku 52: Tanzania bila Magufuli

    Una uhakika kama yeye ndo Ali kuwa Ana nunua watu ? Ila so kesi ukiwa raisi kila kita kacho fanyika ndani ya country wata sema ni wewe ila ukweli si zani kama ni magufuli ndo Ali kuwa na fanya ivo na kama ni kweli magufuli ndo Ali kuwa na fanya ivo na MPa big up usipo eshimu sheria ina bidi...
  2. D

    Siku 52: Tanzania bila Magufuli

    Dah kweli nime amini nabii akubaliki kwao Wote wanao mpinga jpm jaribuni kuhuliza inch zingine za afrika muone jinsi gani jpm alivyo kuwa na kubalika and I think miaka ya mbeleni TZ ingelikuwa super power in Africa Maana jamaa alikubakika saana ok any way si shangai maana mtu awezi pendwa na...
  3. D

    Ushauri: Nina roho ya kusaidia watu na kufuja pesa

    Vipi ndugu zangu naitaji msaada wa ushauri kutoka kwenu. Mimi Ninafanya kazi ambayo inanilipa pesa nzuri tu dollar za Canada 1900 sawa sawa na milioni tatu na zaidi za Kitanzania. Lakini ndugu zangu mimi nimesumbuliwa na shetani wa kusaidia watu kitu ambacho kinaniingiza katika hasara kila...
Back
Top Bottom