Ushauri: Nina roho ya kusaidia watu na kufuja pesa

Duka

New Member
Apr 26, 2021
1
45
Vipi ndugu zangu naitaji msaada wa ushauri kutoka kwenu.

Mimi Ninafanya kazi ambayo inanilipa pesa nzuri tu dollar za Canada 1900 sawa sawa na milioni tatu na zaidi za Kitanzania.

Lakini ndugu zangu mimi nimesumbuliwa na shetani wa kusaidia watu kitu ambacho kinaniingiza katika hasara kila mwezi.

Kila nikijaribu kuacha siwezi na siyo misaada tu kwa watu mpaka mademu kwa wiki nalala na wanawake wa 3 au wawili na wote nawalipa pesa. Najaribu kuacha najikuta siwezi na ninazidi kufilisika kila kukicha.

Yaani hapa hivi nilianza kufanya kazi 2018 mpaka leo lakini cha ajabu sina kitu bank sina kitega uchumi hata kimoja.

Nilikuwa na kwangu lakini nilihama kwa wazazi wangu kwasababu ya hali yangu hiyo.

But I don’t know what I can do again.

Mnafikiri tatizo hili uletwa na nini?

Au kipi nifanye ili ni-avoid na hali hii.

Na kingine kati ya kuchunga pesa na kuziwekeza kwenye biashara kipi kizuri?
 
kamituga

JF-Expert Member
May 31, 2019
1,067
2,000
Ongeza mademu tena wawe 6 2018 mpk sasa auna cha maana tukushauri nin? Sasa maana umeamua kuonga mshahara kwa makusudi subiri mwisho wako!
 
maruudaniel

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
280
500
Hakuna kizuri kwani hustahili kuwa dhaifu wa kitu.

Mshirikishe Mungu kwa kifunga na kusali hayo mengine utayajua namna na njia ya kutokea.

Pia usiishi kwa mazoea
 
Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
3,980
2,000
1. Kuwasaidia watu ni GOOD INVESTMENT (but kuwa mwangalifu & kiasi. Some people may want to take advantage of you needlessly)
2. Epuka tu bad ones --- pombe, mapenzi, and the like
3. Find your own money manager
4. Fungua investment fulani.
5. Learn discipline of money
6. Remember GOD

FYI: Money may not flow always. Take care!!!
 
stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
11,793
2,000
Inawezekana una mapepo ambayo lengo lake ni kukuharibia maisha yako,na kama ni yenyewe hutakaa ufanye kitu cha maana,na ili uweze kutoka hapo ni kwa maombi tu.Unaweza kuona kusaidia watu ni kitu kizuri,lakini kama unasaidia watu mpaka wewe mwenyewe unafilisika huo sio msaada tena my friend...
 
kalonji

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
1,723
2,000
Dawa kopa mkopo mkubwa ujengee nyumba za kupanga Ili huo mkopo ukuweke bize kupambana kuulipa.
Ila usiache kuisaidia watu kadri unavyobarikiwa.Makundi ya kusaidia ni wazazi, watoto yatima,wajane, wagonjwa, wanafunzi waliokwama.Usisaidie mtu kwenda kula raha.
 
Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,269
2,000
Jiwekee ratiba ya matumizi yako, Anzisha miradi ya ujenzi, Ukipokea hela zako chukua nusu yake nunua ardhi kwa uwekezaji wa baadae.Usikae na hela tu ambazo hazina matumizi ya lazima, ukikaa na hela tu na shetani nae anapata mwanya wa kukuvuruga
 
Semahengere

Member
Nov 29, 2020
96
150
Kaka Sisemi kumsaidia mtu ni vibaya lakini shetani alikupatia kwenye kusaidia watu
Ni vizuri Mungu akakuongoza watu wa kusaidia
Sasa Shetani alikupatia kwenye kusaidia watu Wengine ni wakala wake wamechukua pesa zako wakazinenea vibaya ukaharibiwa ufahamu na wamekufanya chuma ulete
Ndio maana ukipata pesa unawaza kufanya ngono
Lengo ni kukuharibia Destiny yako au ufe kabisa
Solution
Mpe Bwana Yesu Maisha yako atakutenga na hilo tatizo utakuwa huru kabisa.
Kumbuka hilo ni tatizo la kiroho na dawa yake lazima ianzie rohoni
Ndio Maana Yesu anasema Nanukuu; Roho ndio imtiayo mtu uzima mwili haufai kitu.
Pole Kaka ni changamoto za Maisha.
 
TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
2,746
2,000
Vipi ndugu zangu naitaji msaada wa ushauri kutoka kwenu.

Mimi Ninafanya kazi ambayo inanilipa pesa nzuri tu dollar za Canada 1900 sawa sawa na milioni tatu na zaidi za Kitanzania.

Lakini ndugu zangu mimi nimesumbuliwa na shetani wa kusaidia watu kitu ambacho kinaniingiza katika hasara kila mwezi.

Kila nikijaribu kuacha siwezi na siyo misaada tu kwa watu mpaka mademu kwa wiki nalala na wanawake wa 3 au wawili na wote nawalipa pesa. Najaribu kuacha najikuta siwezi na ninazidi kufilisika kila kukicha.

Yaani hapa hivi nilianza kufanya kazi 2018 mpaka leo lakini cha ajabu sina kitu bank sina kitega uchumi hata kimoja.

Nilikuwa na kwangu lakini nilihama kwa wazazi wangu kwasababu ya hali yangu hiyo.

But I don’t know what I can do again

Mnafikiri tatizo hili uletwa na nini?

Au kipi nifanye ili ni-avoid na hali hii.

Na kingine kati ya kuchunga pesa na kuziwekeza kwenye biashara kipi kizuri?

Niungane na wanaokushauri ujiingize kwenye kufanya mambo ya maana. Sasa hivi una hela nyingi ambazo zinakaa tu kwenye account hivyo kila anaekuja kukulilia shida unashindwa kumnyima maana hela zipo. Nakuhakikishia ukianza kufanya mambo ya maana kama vile ujenzi, utashangaa kuna siku utakua huna hata mia na hata mtu akikuomba utakua huna cha kumpa.
 
Oswald Daudi Mwakibete

JF-Expert Member
Apr 16, 2018
1,001
2,000
Vipi ndugu zangu naitaji msaada wa ushauri kutoka kwenu.

Mimi Ninafanya kazi ambayo inanilipa pesa nzuri tu dollar za Canada 1900 sawa sawa na milioni tatu na zaidi za Kitanzania.

Lakini ndugu zangu mimi nimesumbuliwa na shetani wa kusaidia watu kitu ambacho kinaniingiza katika hasara kila mwezi.

Kila nikijaribu kuacha siwezi na siyo misaada tu kwa watu mpaka mademu kwa wiki nalala na wanawake wa 3 au wawili na wote nawalipa pesa. Najaribu kuacha najikuta siwezi na ninazidi kufilisika kila kukicha.

Yaani hapa hivi nilianza kufanya kazi 2018 mpaka leo lakini cha ajabu sina kitu bank sina kitega uchumi hata kimoja.

Nilikuwa na kwangu lakini nilihama kwa wazazi wangu kwasababu ya hali yangu hiyo.

But I don’t know what I can do again

Mnafikiri tatizo hili uletwa na nini?

Au kipi nifanye ili ni-avoid na hali hii.

Na kingine kati ya kuchunga pesa na kuziwekeza kwenye biashara kipi kizuri?
Kuwekeza kwenye biashara ndo bomba sana.
 
Pendael24

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
3,678
2,000
Kumsaidia mtu kwa Nia njema Ni Kama Kuweka akiba tena akiba isio haribika.

Lakini kuhonga wanawake kwa ajili ya kupata huduma ya mapenzi Ni changamoto ambayo unatakiwa kuikwepa
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
32,458
2,000
1. Kuwasaidia watu ni GOOD INVESTMENT (but kuwa mwangalifu & kiasi. Some people may want to take advantage of you needlessly)
2. Epuka tu bad ones --- pombe, mapenzi, and the like
3. Find your own money manager
4. Fungua investment fulani.
5. Learn discipline of money
6. Remember GOD

FYI: Money may not flow always. Take care!!!
No .1🙋‍♂️
 
Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
32,458
2,000
Screenshot_20210505-112539_WhatsApp.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom