Recent content by dugumbibogozo

  1. dugumbibogozo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nicheki DM kama upo tayari kuja Tabora manispaa
  2. dugumbibogozo

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Tabora Manispaa Nije morogoro Manispaa Sent using Jamii Forums mobile app
  3. dugumbibogozo

    Shikamoo wanaume

    Iko cha asubuhi tunakiita "amka na BBC" kinakuwa kitamu
  4. dugumbibogozo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Huyu sharifa ameachia sana kyuma yake kwa masela...alikuwa shombeshombe
  5. dugumbibogozo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    We shunie utakuwa umemaliza na kina shukuru maisha,neema mkekena
  6. dugumbibogozo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Umenikumbusha mbali kinoma We utakuwa umemaliza na kina Ally mtasha...sadat...kizibo
  7. dugumbibogozo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Shafii na group lake wanajifanya maustadh kumbe watu wafooo
  8. dugumbibogozo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Najua ana ndugu wengine mi namfahamu said mkandu Mzee ndio mwenyekiti wa s/mtaa bwawani
  9. dugumbibogozo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Namjua kuanzia nywele mpaka kucha ndugu mpaka majirani...kazi yake mpaka kuingia kwenye siasa kupelekwa gerezani na mapalala mpaka sababu ya kuwa chizi.
  10. dugumbibogozo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Huyo hadija mkandu aliwahi kunipiga mkwara hapo shuleni m/nyamala B...nilikuwa nikimuona sina amani. Sasa hivi amekuwa mwalimi
  11. dugumbibogozo

    Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Hakuwahi kuwa na nyimba zaidi ya hiyo anayoweka magogo
Back
Top Bottom