Recent content by dubwela

  1. D

    JamiiForums Tanzania POLISI WANAMSAKA Abdallah Alila ARUSHA

    Tungoje tuone maana lila na fila havitengamani
  2. D

    JamiiForums Tanzania Pengo: Polisi wanafuga wahalifu

    If you remember in 1998 MWEMBECHAI KILLING WALISEMA WAUENI WAHUNI HAO na waliotekeleza mauaji hao walipandishwa na vyeo na kushangiliwa na hata na PENGO kwa wakati huo rais alikaa kimya na wale wale wameendelea kufanya mauaji hayo tena kwa makusudi kabisa kamakwamba hatuna haki ya kuishi katika...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kwenye Uzinduzi wa jengo la kitivo cha sayansi chuo kikuu cha kiislamu Morogoro

    Dhuruma ktk dawa zakulevya zimemtoa uhai zanzibar vp police mbona hamsemi mnaogopa kwa vle wakubwa watakasirika?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kujua jinsi ya kufika Mafia-Island kutokea DSM

    mbagara rangi 3 panda magari ya nyamisati utapanda boti au mitubwi yenye engine acha uzembe nenda njia panda ya ulaya panda nddge dk 20
  5. D

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha Digitek

    kama hakuna soka vizimwe tu nchi kwani ni maigizo tu.
  6. D

    JamiiForums Tanzania JK na makuzi

    Waandishi wa habari na vyombo vyao wanatoa habari JK matokeo yamemshtua nawao wamkumbushe mahakamani alipokwenda cku anahutubia nayo ikafuata alisahau? Acwe nazi kwani alitegemea usanii wake ndio utawafunika wote? Na bado yanakuja alafu waandishi nao wasifanywe mbulula waambie wananchi ujinga...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Walimu kupongezana kwa matokeo mabovu ya wanafunzi ni uzalendo?

    na bado yatakuja maana nazi ni nazi tu, basi yawezekana akaenda mahakamani jk kupinga zero za watoto
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kama Clouds wameruhusiwa kukata rufaa, kwanini Redio Imaan pia isipewe nafasi kama hiyo?

    wanapoamua kufanya jambo walitakalo hawashindwi hapa duniani lakini haki itapatikana na ndio maana dunia haitakuwa sehemu salama, na zinatakiwa radio zinazotangaza ushoga na usagaji. TBC ndio maana inayafanya ya kijinga kwa vile wajinga wengi watakuwa ktk mtizamo wa kidini huku wao wakiimarisha...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kama Clouds wameruhusiwa kukata rufaa, kwanini Redio Imaan pia isipewe nafasi kama hiyo?

    wanapoamua kufanya jambo walitakalo hawashindwi hapa duniani lakini haki itapatikana na ndio maana dunia haitakuwa sehemu salama, na zinatakiwa radio zinazotangaza ushoga na usagaji. TBC ndio maana inayafanya ya kijinga kwa vile wajinga wengi watakuwa ktk mtizamo wa kidini huku wao wakiimarisha...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania na elimu ya kinafiki

    Awali yayote niwapongeze wale ambao wamebahatika kufanya vizuri ktk mtihani wa kidato cha nne 2012 na kuwapa pole wote wasiofanya vizuri. Tunaposema elimu yetu ya kinafiki kihist6ria toka Nyerere ilikuwa ya magumashi kitabaka, itikadi na mengine mfano wanafunzi wa elimu ya juu walikuwa wachache...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Ustaadhi Ilunga atasababisha damu imwagike nchini!

    tusemapo bila kulinganisha tukio la bomu la Arusha na tindikali Zanzibar? Haki itendeki au mmesahau Pengo alisema waliouawa Mwembechai ni wahuni? Sisi tutawaambia watu wetu wafanye hili au lile. Yanatokea na yatakuja sana
  12. D

    JamiiForums Tanzania Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    kabla ya uchaguz yalisemwa udini wakapinga kwa nguvu zote yametokea na hata watoa matangazo nao wanahucka ila kwa vile wao ni watawala kimya
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hujuma bungeni

    Hujuma imefanyika kuharibu mitambo ili bunge lisiweze kusikilizwa/kuonwa na watanzania ambao walikuwa na shauku ya kujua nini kitasemwa na wabunge kuhusu gesi,elimu na mengine kwani tumeona mara nyingi mijadala motomoto wanakatisha mara kwa mara ama Tanesco wanakata umeme
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mabomu na Risasi za moto zarindima Kinondoni Moroko Dar usiku huu!

    mahali ni migomo, Polisi wameua watu zaidi 8 masasi wananchi ambao hawana maji wala maendeleo yeyote. Vp walimu na madaktari nao warudi kundini mpaka kieleweke
  15. D

    JamiiForums Tanzania Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    ofic ya ccm nayo kikaangoni
Back
Top Bottom