Kupitia ukurasa wa Instagram na (X) zamani Twitter anaandika John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti CHADEMA
"Nimetoka Gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti…
Nimefanya kila jitihada kuweza kumuona nimezuiliwa kinyume cha sheria na utaratibu uliopo.
Mfungwa au mahabusu anaweza kutembelewa na...
Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji la Dar es salaam inakanusha taarifa zinazosambaa katika baadhi ya majukwaa ya kijamii na vyanzo visivyo rasmi, zinazodai kuwa watumishi wa mikataba katika kitengo cha kukusanya mapato wanalipwa mishahara midogo, kwa kuchelewa, hawana siku ya mapumziko na baadhi hupewa...
Hii hapa mechi ya kukamilisha ratiba kwa Simba SC dhidi ya Stade Malien kutoka Mali, ambao tayari wameshafuzu hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAFCL) katika Kundi D.
Kwa Simba, huu ni mchezo wa heshima, kwani ushindi utawafanya wafikishe alama 5 badala ya 2...
Jeshi la Magereza Tanzania linapenda kuujulisha umma kuwa, katika kutekeleza majukumu yake ya kuwapokea, kuwahifadhi na kuwarekebisha wafungwa na mahabusu, limeendelea kuzingatia usalama wao katika kipindi chote wanapokuwa chini ya ulinzi wa jeshi hilo.
Kwa msingi huo, Jeshi la Magereza...
Baada ya kuaga rasmi mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Simba SC sasa wanarejea kwenye majukumu ya Ligi Kuu ya NBC, wakitarajiwa kukipiga dhidi ya KMC, maarufu kama Watoza Ushuru wa Manispaa ya Kinondoni.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 1 usiku katika dimba la KMC...
Klabu ya Yanga inashuka Dimbani katika mchezo wake wa tano wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Far Rabat ya Morocco majira ya saa 4:00 Usiku kwenye uwanja wa Stade Olympique de Rabat (Rabat).
Yanga na Far Rabat zote zina nafasi ya kusonga hatua ya Robo Fainali ya michuano...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Ardhi imeagiza aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, na Naomi Raymond Kwayu (Fainess Dawson Kiwia) kumlipa Johnsen Leonard Mahururu Shilingi za Kitanzania Bilioni tatu, na milioni mia mbili ishirini...
Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa’, jijini Dodoma, amegusia suala la Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa kila anayepaswa kuwajibika...
Muda huu Manchester United wapo uwanjani Old Trafford na wanaongoza kwa magoli 3-2 dhidi ya Fulham. Ushindi huu unawafanya kufikisha alama 41 kwenye msimamo wa ligi, huku wakiendeleza rekodi ya mechi tatu mfululizo za ushindi dhidi ya Manchester City na Arsenal, ishara ya kurejea kwa ubora wa...
Ni katika mtaa wa Sokoni One, kata ya Sinoni jijini Arusha, ambapo asubuhi ya leo Februari 1, 2026, wananchi wa eneo hilo wameandamana na kufunga barabara inayotoka Sinoni kuelekea Ngusero kwa takribani masaa matatu.
Wananchi hao wanapaza sauti wakiiomba Serikali na mamlaka husika kuweka bamsi...
"Mwaka huu utakuwa mwaka wa 65 tangu tumepata uhuru bado hatujajenga Demokrasia, miaka saba mkoloni alikubali kuiachia Tanganyika na kupata uhuru bila kupiga watu risasi, miaka 65 hatuna mfumo wa demokrasia katika nchi hii" Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba.
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kuwa Oktoba 29, 2025, watu walipigwa risasi wakiwa majumbani mwao, huku Mkuu wa Nchi akisema nguvu iliyotumika ndiyo iliyopaswa kutumika.
Profesa Lipumba ameyasema hayo katika maadhimisho ya Kumbukizi ya Mauaji ya...
Kumekuwa na maswali mengi kuhusu ni lini Baraza la Mitihani litatangaza matokeo rasmi ya Kidato cha Nne 2025. Hata hivyo, taarifa rasmi zinaeleza kuwa Baraza hilo litaweka hadharani matokeo hayo tarehe 31 Januari, 2026.
Swali: Matokeo ya Kidato cha Nne 2025 yanatoka lini?
Unaambiwa Mwanamuziki wa RnB R Kelly anatazamiwa kuachiliwa huru kutoka gerezani Disemba 21 mwaka 2045 na wakati huo atakuwa na umri wa miaka 78!
Mwaka 2021, R Kelly alihukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani baada ya kutiwa hatiani kwa makosa 9 ikiwemo mashtaka ya unyanyasaji wa kingono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.