Sasa hapo kwenye 5% ndo sijapaelewa
Vinegar (acetic acid) ya dukani kwani ni 100%?? ile tayar ipo diluted so inapaswa awe makini aangalie percentage kabla haja dilute maana atapata kitu tofaut na alichokusudia. Kwamfano kama ile ya dukani ni 5% afu akachukua 5mls akazidilute tena maana yake...
Utofauti ninaofahamu mimi ni kuwa...
Mtu anayesoma BSc with Education maana yake anasoma sayansi pamoja na elimu hivyo anakuwa mwanasayansi lakini anaongezewa kitu kidogo cha kufanyia kazi, yaani anaongezea kidogo uwezo wa kuwa mwalimu. Hivyo anaweza kuwa Mwanasayansi au akawa mwalimu wa sayansi...
Green house effect ni matokeo ambayo hulipah joto dunia, hii husababishwa na gesi joto na gesi mkaa hususani , methane, kabonidayoksaidi, mvuke wa maji (water apor) na oksaidi za naitrojeni ambazo hutokea kiasili au kwa matendo ya binadamu lakini pia CFCs... Kama gesi mkaa zitazidi kuwa nyinyi...
Lakini pia huwezi kushauriwa vizuri kama hujaongea wewe unategemea nini baada ya kusoma (malengo yako ni yapi) kwa jinsi swali lako linavyouliza kila mtu atakujibu jinsi anavyojisikia au kwa jinsi anavyoona au kwa jinsi anavyoipenda kada husika... Ni vyema ukasema unategemea nini au unapenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.