Tofauti ya education with & in au and science ni ipi?

x - mas

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
930
611
Utakuta kuna kozi za bachelor of science with education ,bachelor of science in education pia bachelor of education and science .

Hizi kozi zinanichanganya sana hata sijui ipi ni ualimu na nyingine ni nini mwenye ufafanuzi tafadhali nitoe tongotongo.
 
propaganda za elimu ya bongo tu.....nothing so special
There is some thing my friend for bsc with education its not necessarily to be a teacher even though you have such knowledge but not competent compared to bed in science if you know nothing you better Shut mouth
 
fafanua kidogo mkuu tofauti za kozi hizo
 
Utofauti ninaofahamu mimi ni kuwa...
Mtu anayesoma BSc with Education maana yake anasoma sayansi pamoja na elimu hivyo anakuwa mwanasayansi lakini anaongezewa kitu kidogo cha kufanyia kazi, yaani anaongezea kidogo uwezo wa kuwa mwalimu. Hivyo anaweza kuwa Mwanasayansi au akawa mwalimu wa sayansi lakini, kwa lugha nyingine anaweza kufanya kazi nyingine za sayansi mbali na ualimu. Lakini mtu aliyesoma BSc in Education maana yake yeye anasoma sayansi ndani ya elimu, huyo anafundishwa ili ajekuwa mwalimu wa sayansi... Kwa ufupi.
 
fafanua kidogo mkuu tofauti za kozi hizo
Kunamdau amefafanua kwa ufupi ila tofauti nyingine bsc with ed anasoma masomo mawili ya science ie chem/bio or phs/math na mengine ila bed in science anasoma somo moja la science not other wise sijui kwa vyuo vingine ila kwa udsm na college zake hiyo ndo system
 
Ina

tegemeana na curriculum ya chuo husika... kuna chuo fulani walikuwa wanasoma somo moja wakaambiwa waongeze somo jingine
 
There is some thing my friend for bsc with education its not necessarily to be a teacher even though you have such knowledge but not competent compared to bed in science if you know nothing you better Shut mouth
Hahahaha acha tu nikuupuze maana nadhani elimu yako ni ile ya kukaririshwa kwa kusoma Q and A badala ya kusoma uelewe.
 
There is some thing my friend for bsc with education its not necessarily to be a teacher even though you have such knowledge but not competent compared to bed in science if you know nothing you better Shut mouth

kwa mtu ambae kasomea bsc with education ni kazi zipi za sayansi ambazo anaweza fanya tofauti na ualimu.
 
Kazi nyingine kivipi? Hapo ni uwalimu tu. Tofauti ya hizo kozi mbili ni kwamba mmoja ni mbobezi kwenye elimu yaani unaweza kufundisha vyuo vya ualimu vya serikali(bachelor in) hata master hawezi badili ataendelea kusoma edu mwingine mwalimu ni mwalimu tu wa kawaida sema anaweza badilisha taaluma akiendelea na master (bachelor with), vinginevyo ni ualimu tu hakuna kingine.
 
asante
 
Back
Top Bottom