Mi naomba kuuliza kuhusu wanafunzi wanaojiandaa kusoma clinixal medicine au clinical offer ivi tuwasaidie kuwafahimisha zaidi juu ya hii kozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na vip kumekuwa na maswali mengi kwamba je mwaka huu serekali itatoa mikopo kwa wanaosoma diploma au itakuwaje hapoo ebu wasaidieni wajue kama wanafanya aplication au vp embu tuwasaidie asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa yote hayo uloyofanya kwake hana shukrani na upende akupendae na yule asiyekupenda achana nae usilazimishe upendo we tafuta anayekupenda huo ndo ushauri wangu kwako japo najua upendo unaumiza kwa unayempenda lakini wakati mwingine inabidi uchukue maamuzi ya kiume kwa hatua hiyo uliyofikia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.