Recent content by Dtclassic

  1. Dtclassic

    JamiiForums Tanzania Mpaka miaka 45 huna vitu hivi jua wewe umekuja kusindikiza wenzio duniani

    Asante,inaonekana una upeo mkubwa sana umenena point. Mana ni kweli usimtukane mamba wakati hujavuka mto
  2. Dtclassic

    JamiiForums Tanzania Mpaka miaka 45 huna vitu hivi jua wewe umekuja kusindikiza wenzio duniani

    Mungu yuko nawewe na sala zako anaziskia kikubwa amini juu ya unachikitaka
  3. Dtclassic

    JamiiForums Tanzania Mpaka miaka 45 huna vitu hivi jua wewe umekuja kusindikiza wenzio duniani

    Aiseee umeongea point nimekuelewa sana
  4. Dtclassic

    JamiiForums Tanzania Waliosoma IT na ICT wanaajiriwa sekta moja?

    Jamani naomba kujua tofauti kati ya IT NA ICT pia naomba nfahamu aliyesoma IT na mwingine ICT wanaajiliwa katika sekta saww?
  5. Dtclassic

    JamiiForums Tanzania Tulikuwa kama wewe na hivi karibuni utaungana nasi

    Duuuuuh inauma lakini ndo maisha yetu, mungu atujalie mwisho mwema
  6. Dtclassic

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya mtandaoni ilivyoua na Kuhuisha Ndoto Zangu; Kicheko Kisicho na Mwisho

    Nmekuelewa ndugu,lakin kutokana na ulipo base hata mi pia nmelizwa sana na hzo biashara kwahyo nahs kama naww unatangaza tu biashara kama watu wengine
  7. Dtclassic

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu

    Mmmmh umesomea apo kwani
  8. Dtclassic

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu

    Lakin pia vp upande wa education- kipoj mana mm nilitak hesab&it
  9. Dtclassic

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu

    Asante ndugu, lakin sjakuelew ulivyosema profile ya public ni kubwa kuliko vyuo binafsi? Msaada[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  10. Dtclassic

    JamiiForums Tanzania Vyuo vikuu

    1.Jamani kwanza naomba kuuliza nani anakifahamu chuo RUAHA UNIVERSITY??? kwa anayekifahamu plz maelezo kidogo kuhusu hicho chuo 2.naomba kwa anayejua anisaidie hivi anayesoma private chuo kikuu na mwingne government huwa wanazidiana nini kwenye swala la priority mbalimbali kama ajira mkopo na...
  11. Dtclassic

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Jamani mimi Nina swali kidogo
Back
Top Bottom