Vyuo vikuu

Dtclassic

Member
Jul 16, 2022
12
4
1.Jamani kwanza naomba kuuliza nani anakifahamu chuo RUAHA UNIVERSITY??? kwa anayekifahamu plz maelezo kidogo kuhusu hicho chuo

2.naomba kwa anayejua anisaidie hivi anayesoma private chuo kikuu na mwingne government huwa wanazidiana nini kwenye swala la priority mbalimbali kama ajira mkopo na mengine mengi yanayohusiana na hayo. Msaada plz
 
Ruaha Catholic RUCO zamani sasa RUCU Ni chuo cha kikatoliki, kinapatikana Iringa mjini, ni miongoni mwa vyuo vikuu bora vinavyopatikana ukanda wa nyanda za juu kusini, Chuo kinasifika kwa kutoa Shahada mbalimbali hasa shahada ya Sheria LL.B

Profile ya vyuo vya umma ni kubwa kuliko vyuo binafsi, ila content ya elimu ni ile ile
 
Asante ndugu, lakin sjakuelew ulivyosema profile ya public ni kubwa kuliko vyuo binafsi? Msaada
 
2.naomba kwa anayejua anisaidie hivi anayesoma private chuo kikuu na mwingne government huwa wanazidiana nini kwenye swala la priority mbalimbali kama ajira mkopo na mengine mengi yanayohusiana na hayo. Msaada plz[/QUOTE]

Nasubiri majibu ya hili swali.
 
2.naomba kwa anayejua anisaidie hivi anayesoma private chuo kikuu na mwingne government huwa wanazidiana nini kwenye swala la priority mbalimbali kama ajira mkopo na mengine mengi yanayohusiana na hayo. Msaada plz

Nasubiri majibu ya hili swali.[/QUOTE]Hakuna kipaumbele kwenye utoaji wa ajira na ndio mana huwa wanasema uwe umesoma kwenye Chuo kinachotambulika na serikali. Asitokee mtu akakudanganya kwamba ukisoma Chuo flani una uhakika wa kupata mkopo au ajira mara baada kuhitimu.
 
Hakuna kipaumbele kwenye utoaji wa ajira na ndio mana huwa wanasema uwe umesoma kwenye Chuo kinachotambulika na serikali. Asitokee mtu akakudanganya kwamba ukisoma Chuo flani una uhakika wa kupata mkopo au ajira mara baada kuhitimu.
Mkuu wa hapa hapa umeeleweka vizuri kabisa! Asante.[/QUOTE]Na hali ya mikopo ya elimu ya juu ikoje?
Wanapewa viwango sawa wa public na private?
 
Mkuu wa hapa hapa umeeleweka vizuri kabisa! Asante.
Na hali ya mikopo ya elimu ya juu ikoje?
Wanapewa viwango sawa wa public na private?[/QUOTE]Loan board haingalii umiliki wa Chuo, kama umedahiliwa na Chuo kinachotambulika na T.C
U unapata Mkopo, japokuwa Maximum Fee huwa ina kuwa Considered, na Ada ya Vyuo vya Umma, kwa mfano, mwisho wa Ada ni tsh 3,100,000, kama ukisoma chuo cha private chenye ada zaidi ya hapo utajilipia
 
Back
Top Bottom