Recent content by drug

  1. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Naona tunachanganya kingereza na kisw kati ya Tz na Kenya mji mkubwa ni Dar inafuata Nairobi ila mji mzuri ni Nairobi ..Kwa afrika mashariki mji mkubwa ni Kinshasa inafuata dar ok sijui nyie mnabishana ila Mimi najua hivyo
  2. D

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Big 3 unamaanisha nin au ukubwa upi ? Tofautisha mji mkubwa na mji mzuri Mimi naona ni vitu viwili havifanani
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Mwanza Vs Dar Es Salaam. Nani ni mfalme wa majiji Tanzania?

    Hata matajiri wakubwa wanalipia Kodi dar ndo iko hivyo
  4. D

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Biashara Bongo ni magumu kumaintain, Yapo Overrated kwa kuangalia wachache waliopiga mshindo, nasisitiza ajira serikalini ndio mpango

    Tupe idadi ya wafanyabiashara tuone uchache wao pia idadi ya watumishi tulinganishe
  5. D

    JamiiForums Tanzania Naiona Ukraine ikiwaka moto na West walikuwa Kimya

    Siyo raisi kuua raia wako mwenyewe ndiyo maana hata waasi tu kuwatoa huwa inaleta shida sana
  6. D

    JamiiForums Tanzania Makonda uadilifu ameanza lini?

    Unapenda awe wa aje Sasa maana amekuwa mzuri Kwa watu hujapenda na akiwa mbaya pia hupendi Sasa afanyeje ufurahi
  7. D

    JamiiForums Tanzania TEC yote ikimkana Papa Francis kuhusu Ndoa za Jinsia Moja tutaamini hata kwenye DP World walikuwa serious!

    Ngumu Sana kulielewa kanisa katoliki na mifumo yake
  8. D

    JamiiForums Tanzania EFM Radio yatoa asili ya siku ya Christmas, wasema tarehe 25 mwezi wa 12 ni sikukuu ya wapagani

    Dini zote asili yake ni upagani hakuna dini ilikuwepo kabla ya upagani
  9. D

    JamiiForums Tanzania Urusi kaonesha mfano mbaya, Venezuela naye anafuata: Dunia inaanza kuharibika

    Nchi zote ziliundwa kimabavu miaka hiyo hata Tanganyika bila ubabe wa mjeruman haipo. kwa sasa mfumo wa dunia ni tofauti.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Kwa hoja zinazotolewa na wa Tz tena wanaokaa dar kweli nchi ina Safari ndefu.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Miili miwili bado inashikiliwa na HAMAS, upo wa kijana Mtanzania Joshua Mollel

    Wamewaua ili iweje
  12. D

    JamiiForums Tanzania Shirika la ujasusi la Marekani CIA laipaisha Tanzania kwa kueleza madini ya Tanzanite yanapatikana Tanzania pekee

    Tatizo la TZ ni ujinga mwigi Sana na ujuaji juaji wa kijinga .mpaka tunazidiwa na Rwanda. Sasa madini sijui yanasaidia nini? Labda tuongezewe na ya Congo Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
  13. D

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts na kuweka udini pembeni

    Kweli kabisa wayahudi kwao ni hewani tu na sayari zingine.
  14. D

    JamiiForums Tanzania CONFIDENTIAL: Barua Pepe zaonesha Maafisa 62 wa Serikali ya Tanzania akiwemo IGP walihongwa Fedha na ACACIA (2008/2015)

    Unatetea watu walio karibu na raisi wainuke ki uchumi. Sawa mnaakili Sana wa Tz
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa hii ya Mtangazaji wa ITV na Radio One Hosea Mchopa aliye Safarini Rwanda na Yanga SC kuna la Kujifunza?

    Unamaansha nchi kubwa ni mzigo mzito Africa. Bora kuwa na nchi ndogo ndogo ili ziwe safi
Back
Top Bottom