Recent content by DrRonny

  1. D

    Lengo la dini ni nini?

    We mwanadamu wewe! Mungu yupo na Yesu ndiye njia. Unauliza kwa habari ya kweli? Twasoma: Yohana 14:6 16 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi. Pia twasoma: Yohana 4:24 24 Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika...
  2. D

    Lengo la dini ni nini?

    1 Wakorintho 2:13-15 13 Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni. 14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi...
  3. D

    Lengo la dini ni nini?

    1 Wakorintho 2:13-15 13 Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni. 14 Basi mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi...
  4. D

    Lengo la dini ni nini?

    Laiti ukijua ya kwamba shetani alikuwepo kabla ya kuumbwa kwa ulimwengu! Buddha ni nani hasa! Na ana miaka mingapi hapa duniani? Huniambii kitu kwa habari ya meditation maana nilikuwa huko. Kinachowapoteza wengi kuona kuwa Buddhism ni sahihi ni roho moja tu ya upotevu. Nayo ni "Yin-Yang"...
  5. D

    Lengo la dini ni nini?

    Habari zenu jamani? Kwanza kabisa niseme kuwa nilikuwa kama wewe hivyo uaminivyo. Nilikuwa hivyo hivyo. Kwa miezi kadhaa nyuma ningeweza kukuunga mkono kwa hii post yako. Ila siwadanganyi. Mungu yupo. Kijana vipo vya kufanya navyo masihara ila si Mungu kamwe! Nataka yeyotw mwenye wazo la kusema...
  6. D

    Ununuzi wa Hisa

    Sikia nikuambie. Kwanza habari yako? Nadhani upo okay! Sijaua ya kwamba unataka biashara ya hisa kwa upande gani ila kikubwa ninachoamini ni kwamba ntatoa jibu la kukusadia. Mimi sina habari sana na hisa za hapa Tanzania japo ni kweli kwamba ki ujumla zinalipa. Habari yangu ni juu ya hisa za...
  7. D

    Naomba Ushauri Kuhusu Biashara ya Forever Living Products na GLD

    Guys, im seriously want to share with you this powerful idea. I call his a very simple way to get you monthly commission only by spending your time like the way you do with facebook and other social medias. The difference is that you are dealing with the same time to read and understand the...
  8. D

    Naomba Ushauri Kuhusu Biashara ya Forever Living Products na GLD

    Inafunguka best. Check your device. Sijajua unatumia device gani kuingia JamiiForums? Na wapo wageni wengi sana tayari kutoka JF.
  9. D

    Naomba Ushauri Kuhusu Biashara ya Forever Living Products na GLD

    Jamani, sipendi kuwakatisha tamaa ila hizo biashara zooote mnazozifanya zitawapotezea muda tena sana tu. Mpaka ukaja kuyaona matokeo mazuri, utakuwa umetoa jasho la kutosha. Hasa ukizingatia kwamba wa chini yako ndio wanaoweza kukuangusha usifike mbali. Watanzania (E.Africa) wengi bado wapo...
  10. D

    Wanawake huzeeka haraka kabla ya wanaume (maranyingi)

    Halooo, habari zenu wanajamii wote, wakaka na wadada. Karibuni mchangia maada hii kwa hoja za msingi. Maranyingi katika jamii huwa tunaona kuwa katika ndoa, baada ya kujifungua mtoto au watoto mwanamke huchakaa ghafla na hadi mwanaume anaonekana alioa mwanamke mwenye umri karibu sawa na mama...
  11. D

    NDOA: Zamani vs Siku hizi

    Samahani Ngoja niwaongezee kulifafanua hili kiundani sasa. Kuna sehemu kule juu nilizungumzia kuwa kila mtu maranyingi hukumbuka event yoyote ile ya kwanza aliyowahi ifanya na labda kama ana matatizo? Ni hivi basi: Hakuna mwanaume aliyesahau kuwa ni mwanamke gani aliye mtoa bikra yake. Vivyo...
  12. D

    NDOA: Zamani vs Siku hizi

    Kila sababu mlizojitahidi kuelezea ni nzuri. Ipo moja kubwa sana. Wanawake wa sikuhizi mmepotoza dhamani yenu kabisa kabisa kabisa. Hebu tuangalie picha za mama zetu kwanza halafu tuangalie na hizi za dada zetu. Zinafanana? Kumbukeni kuwa kudumi kwa ndoa kunategemea sana mapenzi kati ya...
  13. D

    mnh mwanamke make up eeh?!

    Hata kama wangejipodoa vizuri. Sikuzote wanawake hujiskia vibaya pale wazidiwapo na wenzao.....wivu tu. Nani aliwaambia kuwa kwa kuweka katani kichwani na masizi mdomoni na machoni ndio kivutio cha kupendwa? Fanya research utaamini nikikwaambia kuwa shedo mnayopaka inatengenezwa kwa...
  14. D

    mnh mwanamke make up eeh?!

    Eee kweli wanawake mna ujunga sawasawa na akili zenu. Ndo mana uharibifu unawafuatilia maisha yenu yote! Hivi unadhani ni kwanini ndoa za leo hazidumu? Sikuzote nyumba hujengwa na mwanamke, na ndomana mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Mnaweka hizo takataka zenu...
  15. D

    Nini kinasababisha Matiti ya mwanamke kuanguka?

    Nikurekebishe kidogo kaka. Baada ya kujifungua huwa yanarudia hali ya awali ila wakikosea masharti tu hutoa ziwa chapati. Japo hutegemea ukubwa wa maumbile. Mfano: 1. Kama mdada ana maumbile makubwa ya maziwa, ni vizuri audhurie viziri kunyonyesha baada ya kujifungua ili ku-balance ongezeko la...
Back
Top Bottom