Kama ilivyovigumu kwa mwanamke kumjua mwanaume wa kweli kumuoa ndivyo ilivyokuwa vigumu kwa Tanzania kujua kati ya USA na china ana mapenzi ya dhati. Siku Tanzania ikiolewa na kuwekwa ndani ndipo uulize nani ana malengo au mapenzi ya kweli. Kwamba kidume gani kinaweza mzigo vema. Wote manyanga'au
Wapi wewe! Li nchi masikini barabara ya lami itoke wapi. Huyo Savimbi hawezi kupotosha wana Arusha. Anadhani A-city ni Dar au pwani kwenye uswahili. Au anadhani ni singida kwenye mahaus girls wengi. Watoto wa kike toka singapore wanaongoza kwa umalaya hapa shivers arusha halafu anatuletea...
We notrademu hujajua falsafa yangu, nimesema ni kama mchumba. Sasa kwanini wapishane kama sio tunaibiwa. Hv kweli kuna mtu atapanda tu ndege ahatarishe maisha yake coz of nothing? Kiasi kwamba Tz ni among the strategic countries in Africa! There must be something. Sasa kama marekani inania ya...
Jamanini napenda kueleza kuwa ujue Tanzania ni nchi nzuri sana. Ina kila kitu. Madini ya Tanzanite haipatikani popote dunia. Ndege na wanyama wa ajabu. Watu nao ni wakaribu ajabu. Cha ajabu ni nchi masikini kwa watu wake kushindia mlo mmoja. Naweza kufananisha Na demu mrembo ambapo wanaume na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.