Recent content by DrLove69

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe hawezi kujiuzulu kutokana na kelele za wafuasi wa CCM

    Zungusheni mikono huku mkipayuka "Mabadiliko...Lowassa....Lowassa Mabadiliko"- Mwenyekiti Chadema Taifa.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Serikali yapiga Marufuku gari zote za abiria kusafirisha vifurushi na barua

    Wangeanza na tatizo la Wizi wa mizigo ya watu na kuhakikisha Usalama wa Vifurushi na huduma bora. "Mabadiliko...Lowassa. Lowassa ....Mabadiliko" - Mwenyekiti wa Chadema Taifa.
  3. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muacheni Lowassa apumzike, uchokonozi utawaponza

    Una matatizo ya akili kamanda!?
  4. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muacheni Lowassa apumzike, uchokonozi utawaponza

    Wamebakiza kuchoma Ofisi Ufipa ili wakamilishe Kibwetererization.
  5. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muacheni Lowassa apumzike, uchokonozi utawaponza

    Hahaha! Hii inaitwa tung'ate na kupuliza mkuu. Muda utaongea.
  6. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muacheni Lowassa apumzike, uchokonozi utawaponza

    Unapotumia neno "Mlisema" unamaanisha nini!? Ni wapi niliposema hayo uliyoainisha hapo juu!? Hao waliosema ni kina nani?
  7. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muacheni Lowassa apumzike, uchokonozi utawaponza

    Siku ile Mzee Lowassa alipotua Ufipa ilikuwaje!?
  8. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muacheni Lowassa apumzike, uchokonozi utawaponza

    Kumkubali Mzee Lowassa kurudi CCM hiyo ndio picha kamili ya Demokrasia iliyotukuka ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Chadema imeathirika vibaya sana kuondoka kwa EL...muda utaongea katika hili.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Nenda Sweden kamuulize.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati na kada mpambanaji wa CHADEMA ndugu Steven Moses atoweka katika mazingira ya kutatanisha wilayani mufindi (Mafinga)

    Kaoshe Qumer Wewe. Eti huna mzuka na mimi! Bwahahahaha. Pole sana ...tatizo unanu.ka Qumer halafu hauna chura, basi mihasira imekujaa kama guru.we pori. Pole
  11. D

    JamiiForums Tanzania Nchi imekauka, mambo hayaendi...

    Jisemee nafsi yako. Wengine maisha Yanaendelea kama kawaida. TGIT...YOLO.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla amefiwa na mwanae

    Mkuu, Nyumbani kwa Mh. Hamis K ni Mikocheni katika nyumba za Mawaziri na sio Makumbusho. Pumzika kwa Amani Zulfikar. Poleni sana ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba. Bila kuwasahau wana Nzega.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati na kada mpambanaji wa CHADEMA ndugu Steven Moses atoweka katika mazingira ya kutatanisha wilayani mufindi (Mafinga)

    Mkuu, Kuna tofauti kubwa kati ya kumchalenji mtu na kumdhihaki/kejeli. Hawa vijana wengi siku hizi hawana weledi. Wanajazwa upepo na Wanasiasa, mwisho wa siku yanapowakuta wanabakia peke yao na kusumbua wake na familia zao. Inasikitisha sana vijana wanapoweka maisha yao rehani kwa Wanasiasa.
Back
Top Bottom