Mbowe hawezi kujiuzulu kutokana na kelele za wafuasi wa CCM

Huu ni ujumbe mfupi sana ninaowapelekea wafuasi na wanachama wa ccm wakiongozwa na Mzee Mwanakijiji , yawezekana ni kweli kwamba Mwanakijiji aliwahi kuwemo Chadema , kama alivyokuwemo Dr Slaa au Lowassa , na bila shaka aliwahi labda kuwa na mchango wowote kwa Chadema tunamshukuru , bali ni wazi pia kwamba Chadema imewahi kumsaidia Mwanakijiji katika mengi ikiwemo sakata lake la USA ( sitazama kwa undani ) , lakini ifahamike kwamba Mwanakijiji aliondoka chadema pamoja na Dr Slaa ambaye sasa ni balozi baada ya kuteuliwa na Mwenyekiti wa ccm John Magufuli , sababu za kuondoka kwao zinafahamika.

Sitaki kuwachosha sana , bali ieleweke kwamba kampeni zozote za kutaka Mh Mbowe ajiuzulu ni lazima zipate uhalali wa Wanachadema wenyewe , ni lazima wanachadema waamue kama kweli wanataka Mbowe ajiuzulu , kampeni yoyote ya kumng'oa Mbowe kutoka kwa watu dhaifu waliokimbia mapambano baada ya kuahidiwa neema huko waliko itahesabika kama kelele za chura ambazo mara zote zilikosa uhalali wa kumzuia tembo kunywa maji , hazitakubalika na wala hazina uhalali wowote.

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Tumekusikia mke wa Mbowe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamjibu wa nini huyo mpumbavu? Huyu aliwahi kusema lowasa akihamia chadema yeye ataondoka, nini kilitokea baadaye?!
kilichotokea ni lowassa kurudi ccm , lingine ni hili , jf ni sehemu ya wastaarabu hivyo basi waweza kuandika bila kutukana , hii ni kwa vile huku kwetu tandika mwembeyanga ndio chimbuko la matusi ya nchi hii , kama tukiamua kufungua koki hautakaa hapa jf mkuu , hoja hujibiwa kwa hoja
 
Mbona tumeshayazoea! Nishatukanwa sana humu so fungulia tu hiyo koki yako.
 
Huu ni ujumbe mfupi sana ninaowapelekea wafuasi na wanachama wa ccm wakiongozwa na Mzee Mwanakijiji , yawezekana ni kweli kwamba Mwanakijiji aliwahi kuwemo Chadema , kama alivyokuwemo Dr Slaa au Lowassa , na bila shaka aliwahi labda kuwa na mchango wowote kwa Chadema tunamshukuru , bali ni wazi pia kwamba Chadema imewahi kumsaidia Mwanakijiji katika mengi ikiwemo sakata lake la USA ( sitazama kwa undani ) , lakini ifahamike kwamba Mwanakijiji aliondoka chadema pamoja na Dr Slaa ambaye sasa ni balozi baada ya kuteuliwa na Mwenyekiti wa ccm John Magufuli , sababu za kuondoka kwao zinafahamika.

Sitaki kuwachosha sana , bali ieleweke kwamba kampeni zozote za kutaka Mh Mbowe ajiuzulu ni lazima zipate uhalali wa Wanachadema wenyewe , ni lazima wanachadema waamue kama kweli wanataka Mbowe ajiuzulu , kampeni yoyote ya kumng'oa Mbowe kutoka kwa watu dhaifu waliokimbia mapambano baada ya kuahidiwa neema huko waliko itahesabika kama kelele za chura ambazo mara zote zilikosa uhalali wa kumzuia tembo kunywa maji , hazitakubalika na wala hazina uhalali wowote.

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
TLP YA MREMA INAPUMULIA MASHINE! MBONA SIJASIKIA WAKIMTAKA ALIJIUZURU??
 
ni kwa vile hapa jf matusi hayaruhusiwi , kinachoruhusiwa ni hoja maridadi tu , Nakupa onyo la mwisho .
Nashukuru sana kwa uungwana kiduchu ulioonyesha, turudi kwenye hoja. Nini kilikuzuia kuondoka chadema kama ulivyokuwa umeahidi baada ya lowasa kupokelewa?!
 
mjadala huu ulishafungwa , i think you ask the same question ten times or more , now it is enough
 
Huu ni ujumbe mfupi sana ninaowapelekea wafuasi na wanachama wa ccm wakiongozwa na Mzee Mwanakijiji , yawezekana ni kweli kwamba Mwanakijiji aliwahi kuwemo Chadema , kama alivyokuwemo Dr Slaa au Lowassa , na bila shaka aliwahi labda kuwa na mchango wowote kwa Chadema tunamshukuru , bali ni wazi pia kwamba Chadema imewahi kumsaidia Mwanakijiji katika mengi ikiwemo sakata lake la USA ( sitazama kwa undani ) , lakini ifahamike kwamba Mwanakijiji aliondoka chadema pamoja na Dr Slaa ambaye sasa ni balozi baada ya kuteuliwa na Mwenyekiti wa ccm John Magufuli , sababu za kuondoka kwao zinafahamika.

Sitaki kuwachosha sana , bali ieleweke kwamba kampeni zozote za kutaka Mh Mbowe ajiuzulu ni lazima zipate uhalali wa Wanachadema wenyewe , ni lazima wanachadema waamue kama kweli wanataka Mbowe ajiuzulu , kampeni yoyote ya kumng'oa Mbowe kutoka kwa watu dhaifu waliokimbia mapambano baada ya kuahidiwa neema huko waliko itahesabika kama kelele za chura ambazo mara zote zilikosa uhalali wa kumzuia tembo kunywa maji , hazitakubalika na wala hazina uhalali wowote.

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
Napendekeza Mbowe apite bila kupingwa uchaguzi wa mwenyekiti ili CCM wajinyee! Let Mbowe be with us, akitoka watasema pressure yao imemn'goa, Erythrocyte, let never do that! Hakuna haja ya kuitisha uchaguzi, ! Wanamuogopa kama wanavyomuogopa Lisu!
 
Jibuni hoja za wanaotaka Mbowe ajiuzulu sio kuwashambulia binafsi.

Kama huna hoja bora kukaa kimya tu, Ndio Mbowe amefanya mambo mengi Chadema.

Ila iko wazi uwezo wake na ubunifu umefika kikomo, ni Vyema akabaki kuwa mshauri tu.

Au anataka mpka ruzuku ikate kabisa ndio atangaze kustaafu.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zungusheni mikono huku mkipayuka "Mabadiliko...Lowassa....Lowassa Mabadiliko"- Mwenyekiti Chadema Taifa.
 
Afadhali umewaambia live wanajifanya washauri wakati walikimbia vita, kwanini wasianzishe chama chao wakawa wanajishauri wao wenyewe.
 
Jibuni hoja za wanaotaka Mbowe ajiuzulu sio kuwashambulia binafsi.

Kama huna hoja bora kukaa kimya tu, Ndio Mbowe amefanya mambo mengi Chadema.

Ila iko wazi uwezo wake na ubunifu umefika kikomo, ni Vyema akabaki kuwa mshauri tu.

Au anataka mpka ruzuku ikate kabisa ndio atangaze kustaafu.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kauliza wanaosema kafikia ukomo ni akina nani wewe au.
 
Afadhali umewaambia live wanajifanya washauri wakati walikimbia vita, kwanini wasianzishe chama chao wakawa wanajishauri wao wenyewe.
Waliozowea vya kunyonga vya kuchinja hawaviwezi hata chembe
 
Napendekeza Mbowe apite bila kupingwa uchaguzi wa mwenyekiti ili CCM wajinyee! Let Mbowe be with us, akitoka watasema pressure yao imemn'goa, Erythrocyte, let never do that! Hakuna haja ya kuitisha uchaguzi, ! Wanamuogopa kama wanavyomuogopa Lisu!
Mbowe ni jabali
 
Jibuni hoja za wanaotaka Mbowe ajiuzulu sio kuwashambulia binafsi.

Kama huna hoja bora kukaa kimya tu, Ndio Mbowe amefanya mambo mengi Chadema.

Ila iko wazi uwezo wake na ubunifu umefika kikomo, ni Vyema akabaki kuwa mshauri tu.

Au anataka mpka ruzuku ikate kabisa ndio atangaze kustaafu.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Pambaneni na hali zenu achaneni na chadema mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom