Recent content by DRLADENY

  1. D

    Anataka nimuonjeshe

    Dileted..
  2. D

    Maisha ya wanafunzi waliomaliza Algeria.

    Waacheni wafate bahati iyo.mimi nilisoma uko medicine nkamalza nina ajira now..mwaka huo huo kuna my frnd nilienda nae ye alikua compta eng nae ana ajira mwaka huo watz tulikua 8 na wote wana ajira kfup cjawah kuskia mtu kasoma uko akakosa ajira hata kama kasoma dgri ya maharage atapata...
  3. D

    Kama una swali lolote kuhusu kozi ya afya niulize

    cjakuelewa ajira ikoje kvp uliza vizuri nikujibu yaan unataka tofauti kati ya bsc in nursing education na bsc in nursing katika utendaj ajirani au katika ushndan wa soko la ajira au nn ulza vzur kaka
  4. D

    Kama una swali lolote kuhusu kozi ya afya niulize

    dont be easy to judge watu tuna majukumu mengi htushindi umu
  5. D

    Kama una swali lolote kuhusu kozi ya afya niulize

    hawa wanasoma technolojia za human cell na tissu kwa mapana sana.hawa ndo wataalam wa kimaabara wa mambo yote ya cell na matatzo yake kama kansa wanafanya kaz kwa karb sana za kimaabara na daktar bngwa wa kansa oncologist ni watu muhm sana na ajira ni nyng sana. Wana uwanja mpana sana hata katka...
  6. D

  7. D

    Kama una swali lolote kuhusu kozi ya afya niulize

    kaka hili limekaa ki TCU administrater zaid ila kuna habari zinaenea hazina source kwamba ni within this week...subirini msiwe na wasiwasi
  8. D

    Kama una swali lolote kuhusu kozi ya afya niulize

    yessssssss diploma unaweza kuaply kuptia matokeo ya form 4 kama yako safi
  9. D

    Kama una swali lolote kuhusu kozi ya afya niulize

    kama unataka conection na mtu toka chuo kikuu chochete cha afya ntakpa ila hvyo vya dp cna mayb cha kibaha cotc
  10. D

    Kama una swali lolote kuhusu kozi ya afya niulize

    kaka uyo anaweza kwenda kusoma Bachelor za education kwa kuptia nacte.ila ili uingie afya lazma uwe na dp ya afya au form 6 fresher so namshaur aanze ktafuta dpoloma ya afya au aseat for form six exam aweke chn i iyo dip yake ya ualimu kama kwel anataka afya. Nmesoma na mtu medcine yeye alikua...
  11. D

    Kama una swali lolote kuhusu kozi ya afya niulize

    Hakuna koz ya dr pharmacy kuna phamacy ipo cuhas,muhas,kiu na st john
  12. D

    Kama una swali lolote kuhusu kozi ya afya niulize

    Niulize chote kukusu vyuo vikuu vya afya, ada na kozi zake
Back
Top Bottom