Kama una swali lolote kuhusu kozi ya afya niulize

Kama una swali lolote kuhusu kozi ya afya niulize

hawa wanasoma technolojia za human cell na tissu kwa mapana sana.hawa ndo wataalam wa kimaabara wa mambo yote ya cell na matatzo yake kama kansa wanafanya kaz kwa karb sana za kimaabara na daktar bngwa wa kansa oncologist ni watu muhm sana na ajira ni nyng sana. Wana uwanja mpana sana hata katka taasis za utaft wa ksayanc kama IHI na NIMRI na vwanda wa dawa na chemkal
 
Haya,
kozi ya Medical Laboratory Sciences in Histotechnology ya pale Muhas inadeal na nini specifically?
hawa wanasoma technolojia za human cell na tissu kwa mapana sana.hawa ndo wataalam wa kimaabara wa mambo yote ya cell na matatzo yake kama kansa wanafanya kaz kwa karb sana za kimaabara na daktar bngwa wa kansa oncologist ni watu muhm sana na ajira ni nyng sana. Wana uwanja mpana sana hata katka taasis za utaft wa ksayanc kama IHI na NIMRI na vwanda wa dawa na chemkal
 
ile kozi ya bsc in nursing education ajira yake ipoje
cjakuelewa ajira ikoje kvp uliza vizuri nikujibu yaan unataka tofauti kati ya bsc in nursing education na bsc in nursing katika utendaj ajirani au katika ushndan wa soko la ajira au nn ulza vzur kaka
 
Dr of Pharmacy?!ulikuwa unatania au upo serious?!ushawahi kusikia hyo dr of pharmacy inatolewa wapi katika dunia hii?!


Mkuu kama haujui hiyo course basi upo mbali kiasi na medical field au ndio kwanza unaanza

Ni course popular sana kwenye nchi za wenzetu..Huyu mtu anakuwa ni mfamasia aliyebase kwenye clinical practice.Kifupi huyu mtu ni daktari na pia mfamasia,ila ufamasia wake sio wa semester moja ya pharmacology kama huku kwetu

Haijaanza kutolewa hapa kwetu ila ipo..Fuatilia
 
mkuu vp kuhusu kampala university campus ya gongolamboto je wameruhusiwa kufundisha clinical officers au ndo bado wanaendelea kuibia wanafunzi
 
natafuta vyuo vya afya, koz lab. med. au clin.officer ngaz dgr au dpl, elim yang ni advance, msaada!! 0765755357
 
mkuu naomb kuuliza course ya DDR inatolewa vyuo gani ngaziibya diploma je kwa ufaul wangu wa O level ntapata Chem C Phy C bio D math C
 
Back
Top Bottom