Fact na ndo hali halisi ilivyoo...unajua vijana wa kitanzania tumekalia kumsema mtu kwa mabaya tuu hata akitenda yaliyo mema bado awe mbaya...na hii inatokana na kila negative thngs za Freedom of speech mwisho watu wanaongea pumba 2 yan mtu achunguzwe kwa kusaidia jamii is that true inabd...
Sasa si bola yeye hata akipewa iyo misaada anasaidia huduma za jamiii kiwe kidogo au kikubwa lakini mchango wakr kwa jamii unaonekana. Na hao waliochukua mabillion ya serikali na hatuoni hata pua zao kwenye Orphanage House wachunguzwe na nani....Makinikaa Kijana
Naomba kuuliza kUna baadhi ya vyuo ni kwelI wameshaanza kutuma Confimation kwa wanafunzi walio apply vyuon kwao? NAULIZA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada;Smart phone yangu aina ya W4 hai access internet service gafla hii week ya 2 nliamua kui flash lakini bado tatizo lipo pale pake
Sent using Jamii Forums mobile app
Soko la Hii Kozi Limekaaje. Na Je Mwwnye Level E ya Math O.level Awez kuchukuliwa kam anasifa za Principle za chuo?
Sent from my SM-G7106 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.