Recent content by drginwey

  1. drginwey

    Ushauri tafadhali, Vodacom wameniumiza

    Wamjulishe kwa njia gani? Nadhani hata huduma mpya wanapaongeza wanamjulisha kwa njia ya message (ambayo bado itafika kwenye simu hiyo ambayo anayo msaidizi wake) Hoja ya msaidizi amewezaje kukopa milioni 2 inakosa mashiko kisheria maana hata hapo kazini umempa pesa zaidi ya hizo na anasimamia...
  2. drginwey

    Nawashangaa Mo na Bakhresa kuendelea kuishi Tanzania

    Hao watu wa Europe unaowasema wanakuja hapa wanatamani kuishi wengine wameolewa huku kijijini kwetu wanafurahia maisha. Wengine wameona fursa nyingi ambazo zinawafanya wabadili hadi uraia.
  3. drginwey

    Ushauri tafadhali, Vodacom wameniumiza

    Kabla ya kukopa au kujiunga na huduma fulani huwa kuna vitu hivi tunachukulia poa. Bonyeza moja kubali vigezo na Masharti <url> au link ya vigezo na masharti unapewa[hatusomagi] ✅️ Weka namba yako ya siri kuthibitisha (Hapa umeweka saini ya kidigitali kuwa ni wewe unakopa, kumbuka namba ya siri...
  4. drginwey

    Ushuru wa Mabango: Serikali na vyama vya siasa wanalipia mabango yao barabarani?

    Sasa hivi ukipita barabarani kuanzia mwanza mpaka Mtwara ni mabango ya CCM au Mama Samia yakielezea amefanya moja au mbili na pongezi kibao. Ziwe za kweli au uwongo zote zimepangiliwa njia nzima mithili ya maua kwenye misiba ya kishua. Swali langu ni je, tunapata mapato yoyote kwenye mabango...
  5. drginwey

    Sponsor for my Bachelor degree in Information Technology Studies

    Nipo Dar ila home ni Manyara Sent using Jamii Forums mobile app
  6. drginwey

    Eti Wanaume Wa Tanzania hii ni kweli?

    Wanaume wa Dar kweli Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
  7. drginwey

    Naomba msaada wa jinsi ya kuondoa HDD Password kwenye Computer

    Njo NIT hapa tukusaidie 15000 tu Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
  8. drginwey

    Polepole: Nape ataadhibiwa na CCM kwa kauli ya kusema alikitoa chama shimoni uchaguzi wa 2015

    hawa jamaa wanachekesha sana especially Polepole yaani jamaa sijui anashauriwa nqa nani?
  9. drginwey

    NATAFUTA CONNECTION ZA IT

    Wengi mtanishangaa lakini nimeona maisha ni watu na watu ni sisi. Nipo mwaka wa kwanza nachukua degree ya Information Technology kama kuna watu wa group la whatsapp au fb waniadd wadau napenda kupata ujuzi na mtandao mzuri wa marafiki kwa ajili ya future
Back
Top Bottom