Recent content by Dreamliner

  1. Dreamliner

    JamiiForums Tanzania KERO: Mabasi ya ABOOD kujaza abiria kupita uwezo

    Kosa nililolifanya ni kuja kuona namba y gari haipo kwenye tiketi, nilitegemea itakuwepo
  2. Dreamliner

    JamiiForums Tanzania KERO: Mabasi ya ABOOD kujaza abiria kupita uwezo

    Leo nimesafiri na basi la ABOOD kutoka Morogoro namba T818_____ lililoondoka saa 6.00 mchana. Mambo ya ajabu niliyoyaona na nikikuwa ninayasikia kabla ni kujaza abiria kupita kiasi, wengine hukaa pale mbele karibu na driver, wengine wanachuchumaa kwenye corridor, kama hakuna dalili za askari...
  3. Dreamliner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naolewa ila nimeamua kufanya revenge kwa maex zangu

    Akili za Tom and Jerry!
  4. Dreamliner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua nimwache mke wangu miezi mitatu baada ya kujifungua

    Mkamue
  5. Dreamliner

    JamiiForums Tanzania Dar: Moto wazuka Magorofa ya Mwenge karibu na TRA

    Ikitokea moto, ndio tunatoa ushauri
  6. Dreamliner

    JamiiForums Tanzania Nishani ya Ndege: Magufuli kampa Mzee Mapunda, Kikwete alimtunuku Tony Makinda

    Nionavyo, hata wakipewa zaidi ya 15 haina tatizo!
  7. Dreamliner

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136!

    Sio sababu! Ongeza kuchimba usisikie juu juu Baba!
  8. Dreamliner

    JamiiForums Tanzania Bugatti mpya- Chiron

    Hapa Bongo itapita barabara ipi?
  9. Dreamliner

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Gwajima ni mnafiki

    Hivi Abunuwasi alishajenga nyumba hewani vile..........!
  10. Dreamliner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mwenye kazi na kipato kizuri

    Sio wote, Kuna jamaa yangu kaoa Professor wakati yeye ni Driver, na maisha ni murua kabisa. Ila ninachojua ni mlianza vipi tangu mwanzoni, Huyo jamaa walisoma wote tangu Primary Jamaa akaishia Olevel, Mke wake (Wakati huo GF) akaendelea UD, Ethiopia na baadae akamalizia PHD yake German.. Sasa ni...
  11. Dreamliner

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Swafi Mpwa.. Yaani yote hapo juu karibu yananigusa Mimi kwa njia moja au nyingine.
  12. Dreamliner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anayetukana ananikosha sana

    Wahi kwa Dr.
Back
Top Bottom