Naolewa ila nimeamua kufanya revenge kwa maex zangu

Naolewa siku sio nyingi ,ila nimeamua kufanya revenge kwa wanaume walionicha
Wa kwanza nilimtafuta nikamlilia sana nikampa na limbwata ,ndoa yake inapumulia oxygen amemfukuza mke wake anaplan tuishi wote Mimi hata sina mpango nae nakamilisha tu kisasi changu nimkimbie ,
Mwingine nimeshamseti huyu nitahakikisha nimemdhalilisha mpaka basi maana Ni bogus sana keshanitumia picha zake za uchi nitazituma kwenye group la kazini kwake soon Tena kwa simu yake mwenyewe.
Mwingine chapombe huyu aliniacha sema hata sikuwa nampenda analewa hadi anakojoa kitandani? Nimekumbuka tu nilivodeki matapishi yake na mikojo atalipa tu.
Mwingine huyu namfundisha mwanae yupo form six nasubiria kipindi cha mitihani nimfukuze shule,apate frustration afeli akawe mzigo kwa babake
Mwingine Mungu Ni mwema alipata ajali akafariki nataka nikachape kaburi lake fimbo Tena nitume mateja wakalifukue asipumzike kwa amani kabisa kama farao
Mkuu hicho kipapa chako si kama ubao maana wahuni wamepita nacho sana mpaka vkojozi ila wanaume tuna roho mbaya, yani huyu kuna mtu anaenda kumfanya mke eti dunia hii haina huruma.
 
Naolewa siku sio nyingi ,ila nimeamua kufanya revenge kwa wanaume walionicha
Wa kwanza nilimtafuta nikamlilia sana nikampa na limbwata ,ndoa yake inapumulia oxygen amemfukuza mke wake anaplan tuishi wote Mimi hata sina mpango nae nakamilisha tu kisasi changu nimkimbie ,
Mwingine nimeshamseti huyu nitahakikisha nimemdhalilisha mpaka basi maana Ni bogus sana keshanitumia picha zake za uchi nitazituma kwenye group la kazini kwake soon Tena kwa simu yake mwenyewe.
Mwingine chapombe huyu aliniacha sema hata sikuwa nampenda analewa hadi anakojoa kitandani? Nimekumbuka tu nilivodeki matapishi yake na mikojo atalipa tu.
Mwingine huyu namfundisha mwanae yupo form six nasubiria kipindi cha mitihani nimfukuze shule,apate frustration afeli akawe mzigo kwa babake
Mwingine Mungu Ni mwema alipata ajali akafariki nataka nikachape kaburi lake fimbo Tena nitume mateja wakalifukue asipumzike kwa amani kabisa kama farao
Shetani kazini!

Kumbe humu JF tuna mashetani kibao
 
Hizi ni stress za kuchelewa kuolewa, ila hivyo visasi mbona sikuhizi malipo ni hapa duniani
 
Naolewa siku sio nyingi ,ila nimeamua kufanya revenge kwa wanaume walionicha
Wa kwanza nilimtafuta nikamlilia sana nikampa na limbwata ,ndoa yake inapumulia oxygen amemfukuza mke wake anaplan tuishi wote Mimi hata sina mpango nae nakamilisha tu kisasi changu nimkimbie ,
Mwingine nimeshamseti huyu nitahakikisha nimemdhalilisha mpaka basi maana Ni bogus sana keshanitumia picha zake za uchi nitazituma kwenye group la kazini kwake soon Tena kwa simu yake mwenyewe.
Mwingine chapombe huyu aliniacha sema hata sikuwa nampenda analewa hadi anakojoa kitandani? Nimekumbuka tu nilivodeki matapishi yake na mikojo atalipa tu.
Mwingine huyu namfundisha mwanae yupo form six nasubiria kipindi cha mitihani nimfukuze shule,apate frustration afeli akawe mzigo kwa babake
Mwingine Mungu Ni mwema alipata ajali akafariki nataka nikachape kaburi lake fimbo Tena nitume mateja wakalifukue asipumzike kwa amani kabisa kama farao
Unapoteza mda sana
 
du....😄😃😄🤣
 
Yani unateseka ungejua ungewaambie waende wakachukue betri pale msamvu kwenye lile loli yote yasingetokea
 
Naolewa siku sio nyingi ,ila nimeamua kufanya revenge kwa wanaume walionicha
Wa kwanza nilimtafuta nikamlilia sana nikampa na limbwata ,ndoa yake inapumulia oxygen amemfukuza mke wake anaplan tuishi wote Mimi hata sina mpango nae nakamilisha tu kisasi changu nimkimbie ,
Mwingine nimeshamseti huyu nitahakikisha nimemdhalilisha mpaka basi maana Ni bogus sana keshanitumia picha zake za uchi nitazituma kwenye group la kazini kwake soon Tena kwa simu yake mwenyewe.
Mwingine chapombe huyu aliniacha sema hata sikuwa nampenda analewa hadi anakojoa kitandani? Nimekumbuka tu nilivodeki matapishi yake na mikojo atalipa tu.
Mwingine huyu namfundisha mwanae yupo form six nasubiria kipindi cha mitihani nimfukuze shule,apate frustration afeli akawe mzigo kwa babake
Mwingine Mungu Ni mwema alipata ajali akafariki nataka nikachape kaburi lake fimbo Tena nitume mateja wakalifukue asipumzike kwa amani kabisa kama farao
Ukiendelea hivyo ndoa yako nadhani hata wiki haitamaliza
 
wote hao inaonekan ulikuwa unakitoa kama karanga ndo maana walikua wanakuacha...hahaa god luck
 
Sioni vilio vyao vikikuacha salama kwenye ndoa yako naona itakuwa ya mikosi tu. Umeme unaeza katika hata ukiwa ndio unalishwa keki.au unaingia ukumbini
 
Hizi za mwisho mwisho za marehemu ndio nimekuelewa vyema, daaah dunia tambara bovu, walimwengu shujaa
 
Back
Top Bottom