Recent content by Dreamatz

  1. Dreamatz

    Vazi la Taifa; Mfupa uliowashinda Wakongwe na sasa tunaanza kuhangaika nao tena

    Siku ya jana nimepita sehemu fulani nikakuta watu wanajadili kuhusu VAZI la TAIFA hasa kutokana na uelewa wangu mdogo kuhusu mada husika nikashindwa kuchangia hoja nikaondoka zangu lakini nikabaki na maswali kadhaa-, 1.Vazi la TAIFA ni nini? 2.Umuhimu wa kuwa na VAZI la TAIFA kama nchi? 3.Je adi...
  2. Dreamatz

    Router za TTCL

    Nakushauri tumia Router za VODACOM ni nzuri alafu zina speed utarudi kuniadithia badae.Fast delivery ukiwahitaji
  3. Dreamatz

    Dkt. Mwigulu Nchemba na Ally Happy wanavyoliweka mkakatini Jimbo la Iramba 2030

    Mikakati ipi?Ndugu mwandishi tueleweshe
Back
Top Bottom