Recent content by Drake

  1. D

    JamiiForums Tanzania Alichosema Trump baada ya Marekani kuiongezea ushuru China kufikia 104%: Tunasubiri simu zao

    Is hukumu akilinya trump kwa haraka, viwanda vitarudi USA, ila baada ya Russia kuanguka itafuta vita na China. Sasa hivi ni kumtibua ili dunia iwe block mbili, na kuipa Europe shock treatment kwanza wachague upande, kisha vita ya china.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini hamtaki kujibu haya maswali kwenye Biblia?

    Habari,ukisoma sura ya 4 -5 ya kitabu cha mwanzo,utagundua kulikuwa na watu wengine kutokana na mjadala kati ya kaini na Mungu,kuhuaiana na adhabu ya kaini. Ukipata kijitabu kinaitwa panorama ya Biblia itakupa mwangaza wa wingi wa miaka katika kipindi huaika. Naaamini nikupa pakuanzia.asamte
  3. D

    JamiiForums Tanzania Je, Ukraine inapoteza vita? Nchi za NATO zinavuja damu? Tutarajie Shambulio kubwa jipya kutoka kwa Warusi?

    Nikweli kwa sababu mimi na wewe hatuko uwanja wa vita wala humo kwenye list ya war generals,kwa hiyo tuna uhuru wa mitazamo, na itapishana sana,tuvumiliane! I
  4. D

    JamiiForums Tanzania Je, Ukraine inapoteza vita? Nchi za NATO zinavuja damu? Tutarajie Shambulio kubwa jipya kutoka kwa Warusi?

    Ukitazama hii tunayo iita vita,lazima tuwe na mitazamo miwili, 1) Kwa urusi; haikuichukulia kama vita kamili mpaka kama wiki 2 zilizopita, ndio wamei tafsiri kama vita. Urusi inahitaji eneo zaidi la kilimo na kupunguza/kutawala urahisi was ukrain kutumia bahari. Hii ni kwa sababu urusi...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana mafuta ya upako na maji ya baraka toka kwa manabii na mitume wa kileo

    ndugu beka , Unisamehe maana nimeandikia Kwenye poast yako mpaka naandika Hii post Ndio ilikuwa ya mwisho, watu wengi wanashindwa kuelewa utendaji wa huduma tano alizoacha kristo, hawa ikiwa pamoja Na viongozi wa makundi ya kiimani katika wakristo japokuwa wote wanamhubiri kristo kwa dhamira...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe mmoja kuongezeka Kilo 2 na nusu kwa siku

    if the average weight of heifer calves at weaning is 200kg, they need to gain 100kg equating to a growth rate of 0.48kg/day. allowing for a 10kg setback at weaning brings the required growth rate up to 0.5kg/day. ... Meeting minimum growth rates for heifers. Liveweight (kg) Target growth...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya watunishiana misuli

    mwisho wa siku imekuwaje?mabati ni Sawa Au Sio Sawa ?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaoamini Mungu wanapenda kutisha watu na kuwa wakali wanapoulizwa maswali magumu?

    Nas Jr, hatuwezi kufikia muafaka kwakutaka record za waandishi wenye mitazamo tofauti ya kuhesabu wana wa israeli ilingane, hakuna mtu yeyote anaye weza kulinganisha hesabu hizo kwa sababu hutaki kuelewa tofauti ya scribes Na adminitrators wakati huo wakiandika vitabu hivyo,kwahiyo kama lengo...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaoamini Mungu wanapenda kutisha watu na kuwa wakali wanapoulizwa maswali magumu?

    Nas Jr, Hebu nisaidie hapa Kwenye hizi assumption Kama ulivyo ziita, unasamaki wa wili Na mikate mitatu umelisha watu 5000 unabaki Na kapu 12 za mabaki ya mikate, Numbers Dont lie!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaoamini Mungu wanapenda kutisha watu na kuwa wakali wanapoulizwa maswali magumu?

    Drake, nirudi Kwenye Hiyo hesabu iliuelewe ninachokujibu, waandishi hao Soma kila mmoja alipohesabu utagundua kunawaliokuwa waandishi scribes ( wataandika basing on pure breed jews ) administrators wataandika wakijumlisha Na wasamaria ambao kisasili si pure breed jews Na hawakuwa wakichangamana...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaoamini Mungu wanapenda kutisha watu na kuwa wakali wanapoulizwa maswali magumu?

    kitu Kama hiki kipo Kwenye familia ya Yakobo iliyoenda misri, ni kwa jinsi wanavyo hesabu, ili uelewe angalia walivyo hesabu jangwani ulisikia tena familia ya musa baada ya jethro kumuabudu Mungu wa Mussa? kuna vitu lazima ujifunze unaposoma biblia hasa uandishi wake, Agano la kale ni kumbukumbu...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaoamini Mungu wanapenda kutisha watu na kuwa wakali wanapoulizwa maswali magumu?

    Umeongelea mipasho,umamntiki wa biblia na Mungu kutuia kitabu,ukiweka maelezo zaidi katika kila hoja ilinasisi wasomaji wa hoja zako tuone unachokiona wewe inakuwa rahisikukuelewa!
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaoamini Mungu wanapenda kutisha watu na kuwa wakali wanapoulizwa maswali magumu?

    ukielezea zaidi itakuwa jambo jema sana!
Back
Top Bottom