Samahani ndugu nimeweka namba ya simu hapo ili tuweze kuwasiliana kama ukiona nimechelewa kusoma message na pole sana kwakifupi wambie wawahi dawa maana huo ugojwa unakela sana
Acne Keloidalis Nuchae ni nini?
Licha ya jina, acne keloidalis nuchae sio aina ya chunusi. Ni aina ya folliculitis, na dalili ambazo zinafanana na chunusi. Kwa kawaida huwa kama upele karibu na sehemu ya nywele upande wa nyuma wa shingo. Mwishowe haya huwa makovu na nywele zinzozunguka eneo...
Umesema kweli mrs van.Wengine hawajui kama wanaishi na baba zao wa kambo hivyo mi nampa bigup diamond kuwa analea damu yake halali na sio kama huyu alieposti picha kumdhihaki diamind wakati yeye babake hamjui mpaka leo
Hamna lolote huyo ni mtoto wa platnum mtoto mdogo kuwa na mshavu hilo sio tatizo si anamabadiliko alafu hizo picha umechukua za karibu na pili we mtoa post jiulize unavyochochea ujinga we umefanana na babako kila kitu au na huenda we ndo mtoto wakusingizia angalia usije umbuka siku moja
Tumia USB cable connect na laptop kuna vision yake itakuja ambayo ikidownload na kustall itakuuliza unafomat na kuupudate ? Ukisema yes kinafomat na kuapdat pia utaingiza ID na utadownload app unayotaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.