Recent content by Dr wa Kaliua

  1. Dr wa Kaliua

    Kigamboni kama unaenda Mji Mwema kuna masanduku ya dhahabu yamefichwa natafuta mtu tukayachukue

    Kwelikabisaugonjwawaakilisiomzurinihatarikwaafyayaakilimkuu
  2. Dr wa Kaliua

    Kigamboni kama unaenda Mji Mwema kuna masanduku ya dhahabu yamefichwa natafuta mtu tukayachukue

    Leo asubuhi mida ya saa kumi na moja Kama ilivyokawaida yangu kufanya mazoezi. Mara nyingi mbio na mwendo wa haraka kutoka kigamboni ferry mpaka mji mwema nilikuwa nakimbia ila kufika maeneno ya Malaika beach karibu na sherry ya lake oil jirani na Malaika school kama unaenda mjimwema unafika...
  3. Dr wa Kaliua

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Ntaleta mrejesho hapa kila hatua kwa picha ili iwe inspiration kwa wengine
  4. Dr wa Kaliua

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Mkuu Dua zako zinatosha sana Mimi kufikia malengo acha nikomae ili nipate uchungu wa kutafuta
  5. Dr wa Kaliua

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    [emoji23][emoji23] kiwanja na pikipiki mbili kwa sifa unazompa sio sawa..!! Nina wajua madereva bodaboda wenye nyumba mbili na bodaboda zaidi ya 6 na wanasoma mpaka form 3 au hajaenda shule Kabisa
  6. Dr wa Kaliua

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Yeah Kuna mahali na Mimi nilizingua ila kuondoka niliondoka Mimi ili kuepusha makubwa mana hasira nilizokuwa nazo Nilitaka kumkata matiti
  7. Dr wa Kaliua

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Fresh sana Fundi bishooo
  8. Dr wa Kaliua

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Wanangu wa gheto eeeh KOMAAAA ila usikubali kushare kitu chochote na demu ukiwa gheto...!!! Simama wewe kama wewe. Nilinunua vitu kibao nikaa na demu Fulani naschool nae. Baada ya kuzinguana anadai kila kitu chake Tena anataka Hadi kupigana Nikaona nilifanya makosa kukaa na demu aiseeee...
  9. Dr wa Kaliua

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ukiwa na maaana Gani??? Polisi ni kazi kwa watu ambao akili zao zipo stagnant!! Hawaitaki level kubwa ya maisha wanaitaji kuwa middle class!! Kulala Kula Usafiri Ila kwasisi ambao tu dream Big sualaa la kuajiliwa tu ni changamoto!!! Mwaka huu nilienda Kufanya field ofisi Fulani...
  10. Dr wa Kaliua

    Ili ufaninikiwe unahitajika kuwa na roho ngumu na mbaya

    [emoji23][emoji23] inaumiza sana
  11. Dr wa Kaliua

    Ili ufaninikiwe unahitajika kuwa na roho ngumu na mbaya

    Learning from my experience nimebaini kuwa watu wengi wenye maisha mazuri pesa za kutosha roho zao ni ngumu... Sasa basi ili ufaninikiwe unahitajika kuwa katili haijalishi unafanya Nini.. Ushirikina unahitajika ukatili Wizi ukatili Na mengine mengi... Kumbuka kufanikiwa sio rahisi thus is...
  12. Dr wa Kaliua

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Pole sana Police ni maisha ya utumwa kuuza roho just for 500k Huna amani Unatengwa na jamii Roho mkononi Unawindwa na kila adui Dhambi na unyanyasaji na uonevu kwa wengine Kifupi mapolisi wengi maisha Yao ya kisenge sana rushwa kama Nini.. Sina kazi ila bodaboda anaejielewa anaishi maisha...
  13. Dr wa Kaliua

    Vyakula 16 venye kuongeza kinga ya mwili

    Mwisho wa siku unafanya biashara ya mlonge[emoji23]
  14. Dr wa Kaliua

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mkuu inawezekana kweli au maneno [emoji23]
Back
Top Bottom