Hi guys,
Hope weekend ipo poowah kabisa...!!
Ety jamani mnajua kuwa, "Mahusiano yana lugha?"
Basi kama ulikuwa hulijui hilo. Leo Dr sai anakwambia kwamba
"Ndio, mahusiano yana lugha".
Kama tunavyoelewa, mahusiano yamegawanyika kwenye matawi kadha wa kadha. Yapo mahusiano ya urafiki, mapenzi...