Recent content by Dr.Rodrick Kabangila

  1. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA si Legelege-Dr Slaa

    Gamba sugu Usimsumbue Ben ana majukumu ya kitaifa, tuone makamanda wa kanda ya ziwa magharibi. Piga 0715477968.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuteta na vijana wa Tanzania tarehe 09/12/2013

    You must be mentally sick.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kulinda heshima yake, Mbowe asigombee uchaguzi wa ndani ya chama

    Hivi kuna uchaguzi wa kidemokrasia wa nafasi ya m/kiti wa Taifa ndani ya CCM? Miaka karibu 60 ya uhai wa CCM wenyeviti ni 4 wakati CHADEMA katika miaka takribani 20 wenyeviti ni 3 na kati yao yupo marehemu Bob Makani ambaye ni mtu wa shinyanga, wapi demokrasia ipo? Je Shibuda alifukuzwa CCM...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA uwanja wa Mbungani Mwanza - Wenje na Mawazo wanguruma

    kamanda wewe ni mwandishi wa ukweli.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tamko la CHADEMA mkoa wa Geita kuhusu Zitto kuvuliwa uongozi

    ---- Mkoa wa Geita hauna uongozi wa mkoa wala kurugenzi ya majimbo. Kuna mratibu wa mkoa.
  6. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kanda ya Ziwa yapongeza maamuzi ya Mkutano Mkuu kuwavua Uongozi kina ZITTO!!

    Nani aliyenyanyaswa? Sisi tuko kanda hiyo na hilo ndio tamko la Chama kanda. Dr. Rodrick Kabangila Makamu M/kiti - Kanda ya Ziwa Magharibi
  7. D

    JamiiForums Tanzania CHASO SAUT kuandamana kupinga Zitto na Mkumbo kuvuliwa uongozi

    Hakuna kitu kama hicho chaweza tokea kwa chuo chochote cha elimu ya juu sio tu SAUT ndani ya Kanda ya Ziwa Magharibi. VIJANA WANGU WANAHESHIMU MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA. Dr. Rodrick Kabangila Makamu Mwenyekiti-kanda ya Ziwa Magharibi.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Zitto anautaka sana uenyekiti CHADEMA?

    umenena vyema.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Zitto anautaka sana uenyekiti CHADEMA?

    Ameng'ang'aniaje? Na kwa nini suala hili liwaume sana nyie Non-CDM?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

    well spoken kamanda.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: CHADEMA muwasamehe Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo

    Life chairman vipindi viwili tu na havijaisha! WanaCDM ndio wataamua mustakabali wa chama chao. Mbona success ya Mbowe ndani ya CDM hata kwenye waraka imeonyeshwa?
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa awadhihaki Zitto, Kitila na Mwigamba. Muendelezo wa majungu

    MaCCM yamehumia roho sana.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Zitto & Dr Kitila Mkumbo kuwa streamed LIVE

    Huku Kanda ya ziwa magharibi (kagera, mwanza na geita) misingi inajengwa kwa kwenda mbele. Target ni wanachama 1,000,000 mpaka sasa tuko 1/3. CHAMA HIKI SASA NI ZAIDI YA MTU MMOJA. NI TAASISI.
Back
Top Bottom