Recent content by Dr.philosophy

  1. Dr.philosophy

    JamiiForums Tanzania Loan Board mnatutesea Watoto. Jitahidini kwenda na muda

    Kama huna Cha kukoment piga kimya mkuu siyo Kila Uzi lazma uchangie🤔
  2. Dr.philosophy

    JamiiForums Tanzania HESLB imetoa siku nne kwa Wanafunzi 2,982 walioomba mikopo kwa mwaka 2021/2022, kukamilisha taratibu za maombi yao

    Ivi ukiingia kwenye akount yako utaona viashiria gani vinavyooneaha umekosea...
  3. Dr.philosophy

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kufanya supplementary UDSM

    Nashukuru kwa mchango wako mkuu
  4. Dr.philosophy

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kufanya supplementary UDSM

    Hiyo sick sheet ni Kama chet Cha daktari au Ni Nini mkuu
  5. Dr.philosophy

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kufanya supplementary UDSM

    Nashukuru mkuu kwa mchango wakongoja nimjulishe afuatilie kesho
  6. Dr.philosophy

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kufanya supplementary UDSM

    Nashukuru Sana mkuu..kumbe huwa Kuna special ya sup..
  7. Dr.philosophy

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kufanya supplementary UDSM

    Asante mkuu..kapata mtihani kwakweli
  8. Dr.philosophy

    JamiiForums Tanzania Kushindwa kufanya supplementary UDSM

    Wadau habar za kazi..nilikuwa naomba kujua Ni utaratibu gani wa kufuata kwa mtu aliekosa mtihani wa supplementary chuo kikuu Cha UDSM kwa changamoto za kiafya. Nina ndugu yangu alitakiwa afanye mtihani leo asubuh..Sasa usiku alipata shida ya kiafya..huwa Ana matatizo flan ya kiafya akashindwa...
  9. Dr.philosophy

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya hesabu Dodoma mjini

    Broo Mimi nahitaji kwakwel na Kama unaweza tu kunisaidoa nisaidie na mm nijikwamue mkuu...hakika hutajutia kunipa Mali yako
  10. Dr.philosophy

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya hesabu Dodoma mjini

    Shukran mkuu🙏
  11. Dr.philosophy

    JamiiForums Tanzania Pikipiki ya hesabu Dodoma mjini

    Ndugu zangu,Mimi Ni kijana natafuta pikipiki ya hesabu ambapo nitakuwa naitumia kufanyia biashara ya boda boda na kumlipa mwenye Mali kutokana na makubaliano ya kiasi tutakachokubaliana...naomba ndugu zangu nisaidiwe kwa Hilo nitafanya kazi kwa uaminifu mkubwa mnoo na nitahakikisha naleta hesabu...
  12. Dr.philosophy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ingekuwa wewe ungefanyaje? Ushauri wako muhimu sana

    Mkuu badala ya kutoa ushauri unaanza ku criticize typing duh!
  13. Dr.philosophy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ingekuwa wewe ungefanyaje? Ushauri wako muhimu sana

    Sijaelewa ulichoshaur apa mkuu...mjinga kivipi Sasa?
  14. Dr.philosophy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ingekuwa wewe ungefanyaje? Ushauri wako muhimu sana

  15. Dr.philosophy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ingekuwa wewe ungefanyaje? Ushauri wako muhimu sana

    Nashukuru mkuu kwa maoni yako
Back
Top Bottom