Ni nani hasa ambaye anaweza kunipa ushahidi wa dhati ambao hata nafsi yake inakiri kuwa ni wa kweli, Kuelekea IKulu ya Tanzania 2020 yupo wa kushindana na Magufuli? Hakika kama yupo anaweza kunisaidia nami kujua.
Huyu wa kushindana nae atakuja na ajenda gani? Hawa wapinzani hivi ni kipi hasa...
Ndugu usitishwe na maneno kama Haya. Hatua uliyopiga ni kubwa. Angalia huyu ndugu milion 50 na bado ajamaliza finishing vyumba vitatu? Kupau 15 unapau nini? Ndio fundi wako anakupiga namna hii?? Kama kweli unajenga na sio porojo na umetumia kiasi hicho basi huyo fundi wako kamtimue haraka...
Ha haha ndio maana nasema kila mara siasa ndicho kiwanda kisichohitaji maarifa au ujuzi wowote, isipokuwa mtu ajue uongo, unafiki na kujipendekeza pendekeza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Enyi kizazi cha nyoka. Nawambieni Tofauti na mwanadamu mwingine yeyote, Yesu aliishi mbinguni akiwa kiumbe wa roho kabla ya kuzaliwa hapa duniani. (Yohana 8:23) Alikuwa kiumbe wa kwanza kuumbwa na Mungu, naye alisaidia kuumba vitu vingine vyote. Anaitwa Mwana “mzaliwa pekee” wa Mungu kwa kuwa...
Hii ni tabia mbaya, kwamba mapenzi yenu kwa mtu yazuie wengine wasiseme ukweli. Endeleeni kupiga mapambio kwa mapenzi yenu ila muwe makini msipende kutaka kuambikiza wengine maradhi yenu ya ujinga.
Hawajabishwe kwa lipi kwanza umesoma vizuri maandishi ya mwandishi? Benjamin Franklin aliwahi kuandika "Sote tumezaliwa wajinga, tunahitaji bidii kidogo ili kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kubaki wapumbavu. Baadhi huchagua njia ya pili.” sasa endelea kuwa mpumbuvu kumgeuza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.