Recent content by dr perfect

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Hili CHADEMA wanastahili Kuungwa Mkono

    Kwa kweli nawapongeza sana. Vijana watu wa Chadema kwa Kazi nzuri hongereni tuko nanyi msijione wachache bungeni no,tuko wengi tunaowaunga mkono
  2. D

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Serukamba aomba radhi

    Ccm ni wendawazimu haswaa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa azindua Mafunzo Maalum ya kuikaba CCM Vijijini

    Hakika. Chadema ndio chama pekee tumaini jipya kwa watanzania
  4. D

    JamiiForums Tanzania Makosa ya kiufundi ya CCM yanayoipaisha CHADEMA kuelekea 2015

    AMA kwa Hakka Chadema kinastahili kikamate dola ya ya tanganyika.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Bashe anusurika kutekwa

    Yaani wang'oe watu kucha bila ganzi....halafu tena wanatoa) hahahaha.this is tanzania,
  6. D

    JamiiForums Tanzania CCM watakuja na mbinu gani tena za kuidhoofisha CHADEMA?

    Kifo kama kimepangwa ccm watakufa wawo,hakuna vita isiyokuwa na mwisho. Cha msingi ni jinsi gani chadema tutamaliza vita hii. Pia najua Mungu ataishindia chadema.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

    Naona sioni cha maana ambacho umekitoa hapa kWenye Jamavi.nakushauri tumia fani yako ya ualimu ukafundishe watoto wetu,achana na kuganga njaa wakati taaluma unayo.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Kampeni na Uchaguzi CHADEMA kuunganishwa na Lwakatare?

    Watasema sana,lakini Chadema ndo tumaini pekee la Watanzania......
  9. D

    JamiiForums Tanzania Vita kati ya Ben wa Saanane na Zitto Kabwe vitaiharibu CHADEMA

    Chadema kwanza...wanaotaka makundi badaye sana. Chadema 2015.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Lwakatare, Ludovick wafikishwa mahakamani Kisutu

    Ukiangalia kwa jinsi ambavyo serikali inatapa tapa katika kesi hii utaona ni jinsi gani ambavyo wamepagawa.kiukweli Lwakatare lazima atashinda kwa kishindo kesi hii.
Back
Top Bottom