Recent content by Dr.Nkabanzanabilyao

  1. Dr.Nkabanzanabilyao

    JamiiForums Tanzania Nakutafuta mwanadada wewe, sifa kuu tatu

    teh teh teh! sio kibabe
  2. Dr.Nkabanzanabilyao

    JamiiForums Tanzania Nakutafuta mwanadada wewe, sifa kuu tatu

    kigezo cha pili ni muhimu sana! ukila vya haramu kula vilivyo nona! if u do it, do it good then!
  3. Dr.Nkabanzanabilyao

    JamiiForums Tanzania Nakutafuta mwanadada wewe, sifa kuu tatu

    Aaaaaaaahaaaaaaa
  4. Dr.Nkabanzanabilyao

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    KWANI SLAA LINI.ALIKUAMBIA YUKO CCM? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Dr.Nkabanzanabilyao

    JamiiForums Tanzania Straight Talk Africa na Shaka Ssali: Tundu Lissu jino kwa jino na Balozi Wilson Masilingi

    hiyo video imegoma kutumika humu? basi leteni link! nashindwa kucomment kitu maana sijui hata kimezungumzwa nn Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Dr.Nkabanzanabilyao

    JamiiForums Tanzania Straight Talk Africa na Shaka Ssali: Tundu Lissu jino kwa jino na Balozi Wilson Masilingi

    lete video msitulishe maneneo Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Dr.Nkabanzanabilyao

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tiba ya michubuko

    tumia tube candiderm
  8. Dr.Nkabanzanabilyao

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    pia amesema maafisa wa tume walivua mashati na kutwangana kitu kilichoashiria tume haikua huru na maafisa walikuwa mawakala wa wagombea.
  9. Dr.Nkabanzanabilyao

    JamiiForums Tanzania Lowassa aingia Kwa siri Mwanza, wananchi wagundua, wafurika Gold Crest Hotel

    Bosi mwanza gani hiyo? Mbona mm nipo mwanza hapa airtel samaki sijaona hayo unayoandika? KUNYWA KISTAARABU
  10. Dr.Nkabanzanabilyao

    JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya Mwigulu, J. Makamba, Lusinde, Kairuki yavuja [PENDING VERIFICATION]

    nimeziona. Ni nzuri. Zinavutia. Hongera kwako kwa kupata habari nyeti kiasi hiki. Lakini kama ulichoposta sio cha ukweli...nahisi katika siku zako mbaya duniani hii ya leo hutoisahau.
  11. Dr.Nkabanzanabilyao

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu Agawa rushwa kweupee, TAKUKURU mpo wapi?

    Sina hakika kama una taaluma ya usalama na utambuzi. Kama ukweli hauko likizo! Itazame mikono hiyo na uandike thread nyingine ikionesha ukweli wa ulichokiona. KUNYWA KISTAARABU!
  12. Dr.Nkabanzanabilyao

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    habari! Jiwe ni kiumbe kisicho hai. Hakitendi, hakifanyi chochote. Msemo huu haumaanishi jiwe bali unamaanisha bora kuongozwa na mtu asiyefanya lolote, asiyetusaidia lolote wala asiyetunufaisha chochote kuliko kuongozwa na mtu wa CCM hata kama anafanya na kutunufaisha. Sina hakika kama jiwe...
  13. Dr.Nkabanzanabilyao

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu Agawa rushwa kweupee, TAKUKURU mpo wapi?

    Photography topic ya geography o-level. Kama ukweli hauko likizo aliyepewa hapo ni mama samia.
  14. Dr.Nkabanzanabilyao

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima kumjibu Dr. Slaa siku ya Jumanne - Septemba 8, 2015

    Siasa hii duh! KUNYWA KISTAARABU
  15. Dr.Nkabanzanabilyao

    JamiiForums Tanzania Kwenye msafara wa Mamba, na Kenge wapo!- It is Either with US or Against US!

    matusi haya? Ati kisa nani? Kuna maisha baada ya oktoba Usiache mbachao kwa msala upitao. KUNYWA KISTAARABU!
Back
Top Bottom