Iko hv Jana Niko na fundi wangu ambe ni mtaalmu wa plaster na tiles bas nikamuuliza vip yule kijana ako yuk wapi sas hv anasoma wapi alikuja kupata chuo gani? ndio akanijibu' yule kijana ni mpumbavu sna' mm nimemuacha apqmbane na maisha amenitukana nikammzuza na mm
Akaendeleaa akasema...
Nina jamaa angu Msukuma wa Shinyanga, jamaa ni fundi wa kuezeka majumba ni kweli ni fundi mkali tu kwenye mambo ya kupauwa majumba
Ishu ni hivi, jamaa hawezi kutulia kabsa na mkewe Yuko radhi ajifanye yuko nje kikazi kumbe amejifungia lodge na mwanmke tena Hawa wauza bar wa Dodoma
Kila pisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.