Recent content by Dr MOSHI

  1. D

    JamiiForums Tanzania Huyu abiria lazima katumwa kuvuruga biashara ya kampuni hii

    Kama ulitaka kuwahi ungechukua ndege. Penda maisha achana na haraka za kijinga
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kumradhi Mh. Lema, Mlango uloingilia tuliuacha wazi na sasa waweza toka tu

    Kwa nini kuyasema haya wakati tunaelekea kwenye uchaguzi? Kama ni kumnyanganya ubunge njoo na hoja na sio chuki
  3. D

    JamiiForums Tanzania Leo nimebaguliwa na Wahindi

    Yawezekana kati yenu kuna aliyetumia manukato ambayo hayakuwapendaza au pengne wana aleji nayo ivyo wakaziba pua wasidhurike. Tatizo hapo limekuwa n mtazamo wako juu yao
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ile idea ya Freeman Mbowe ya ku-invest kwenye people's mind niliipinga ila sasa naanza kuikubali

    Mabadiliko huletwa na fikra pevu. Hatuweza tukajenga majengo wakati watu hawajitambui. Lets go Tanzania. Tumechoka
  5. D

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Nashukuru kwa majibu yako.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Mimi nko Maputo nchini Mozambique. Nakumbuka wakat nafika huku nliweza kuwasiliana name ndugu zangu walioko tz bla shida. Ila baada ya mda mlitufungia huduma name kutuwekea masharti magumu kwamba anayenpgia lazma awe na vocha name mm pia niwe nayo alafu gharama tunatozwa wrote. Embu turudishien...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi Kampuni za Simu zinavyowaibia wateja wao!

    Yan mtanznia kuliwa inaonekana kama ni jambo ambalo halikwepeki maana wenye dhamana ya kututoa kwenye hali hii wamekaa kimya. Ila ipo siku tutachomoka wenyewe kwa njia yoyote.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila Mkumbo: Edward Lowassa, Mchapa kazi mwenye nakisi ya uadilifu na falsafa

    ni vyema wasomi mkatusaidia kuwatambua yupi n mbwa mwitu na yupi ni kondoo maana wote wamevaa ngozi za kondoo
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hivi tume ya Warioba haikufanya cha maana?

    sio haijafanya kaz ila kuna watu wanataka katiba yenye manufaa kwao na hili n tatzo kubwa sana?
Back
Top Bottom