Ile idea ya Freeman Mbowe ya ku-invest kwenye people's mind niliipinga ila sasa naanza kuikubali

JERRY

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
599
500
Siku za nyuma kulikuwa na manneno mengi sana yanazungumzwa kuhusu uongozi wa juu cdm kutotilia mkazo ujenzi wa miundo mbinu ya chama ha haswa majengo ya ofisi za chama kimikoa na hata wilayani.Ilionekana pengine ni kukosa mikakati ama uchakachuliwaji wa fedha na ruzuku zinazoingia chamani.

Katika majibu yake wakati fulani Mh.Mbowe alisema msingi wa cdm kwa sasa upo kwenye kujenga Fikra/fahamu za watanzania ili wajitambue katika kudai haki zao na katika kuona umuhimu wa kufanya mageuzi. Kwa matokeo haya ya uchaguzi wa serikali za mitaa hata kama japo yanaweza yasiwe 50/50, lakina naanza kuukubali uamuzi huu wa Mbowe wakishirikiana na Dr.Slaa.Kwa kweli Watz. wameanza kuamka na kuona umuhimu wa mageuzi ya kisiasa kwa mustakabali wa maisha yao.Yaani mpaka korogwe vijijini wanachagua upinzani!!!! Brovo Mh.Mbowe,!

I can just say that is a power of positive thinking.
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
19,902
2,000
Ni kweli kubadilisha fikra za watanzania ilikuwa kazi kubwa si mchezo - kwa sasa 90% ya vijana ( 18 - 35) tayari fikra zao zipo kwenye mabadiliko, vijana wa kike nao hawako nyuma kwenye vuguvugu hili - Hongera Halima Mdee kwa kasi yako ya roketi kusaidia hii operation. Hapa ndipo palipo na msingi wa mabadiliko - ulishakubaliwa na vijana tu basi ujue kazi KWISHA.

Hongera Mh. Mbowe -- Lumumba wanasoma plate number.
 
Phoenix

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
9,912
2,000
Nguvu ielekezwe kwa mabinti na wanawake akili za kimageuzi kwetu bado hazijaanza kuzaa matunda!
 
Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,304
0
CCM wanaiba, wanaharibu chaguzi kwa Makusudi, wanahonga watu, wanatumia Policcm, wanatumia Tume ya Uchaguzi kwa manufaa yao, wanatumia TAMISEMI kwa kujinusuru..lakini KIMBUNGA CHA MABADILIKO HAKINA WA KUKIZUIA...CCM itang'ooka, na hilo ni suala tu la kuhesabu miezi...wiki...siku...saa...dakika...na sekunde! HIKI NI KIZAZI KIPYA...kitaibadili Tanzania kuwa ya Wazalendo na sio MAJIZI, na wapofu wa fikra, wanaowaita raia wao TUMBILI...ili tu wasiambiwe kuwa wao majizi!!. ...it's smoothly but steadly counting down to D Day..!
 
Dr MOSHI

Member
Apr 10, 2014
12
0
Mabadiliko huletwa na fikra pevu. Hatuweza tukajenga majengo wakati watu hawajitambui. Lets go Tanzania. Tumechoka
 
wabuyaga

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,685
1,225
Siku za nyuma kulikuwa na manneno mengi sana yanazungumzwa kuhusu uongozi wa juu cdm kutotilia mkazo ujenzi wa miundo mbinu ya chama ha haswa majengo ya ofisi za chama kimikoa na hata wilayani.Ilionekana pengine ni kukosa mikakati ama uchakachuliwaji wa fedha na ruzuku zinazoingia chamani.

Katika majibu yake wakati fulani Mh.Mbowe alisema msingi wa cdm kwa sasa upo kwenye kujenga Fikra/fahamu za watanzania ili wajitambue katika kudai haki zao na katika kuona umuhimu wa kufanya mageuzi. Kwa matokeo haya ya uchaguzi wa serikali za mitaa hata kama japo yanaweza yasiwe 50/50, lakina naanza kuukubali uamuzi huu wa Mbowe wakishirikiana na Dr.Slaa.Kwa kweli Watz. wameanza kuamka na kuona umuhimu wa mageuzi ya kisiasa kwa mustakabali wa maisha yao.Yaani mpaka korogwe vijijini wanachagua upinzani!!!! Brovo Mh.Mbowe,!

I can just say that is a power of positive thinking.
Mkuu kwanza ninakupongeza kwa hint kama hii! Pia inabidi tukubali kuwa kigezo cha degree/Dr ktk elimu si lazima ktika baadhi ya kazi na ndiyo maana unaona huyu mhs Mbowe anafanya kazi kutokana experience ya siasa! Hawa watu tunawahitaji katika nyanja kama hizi. huyu jamaa anajua chama kimetokea wapi na anataka akifikishe wapi! Mkuu kwa sisi waafrika sasa hivi imekuwa vicheko hasa ktk nchi zingine za watu walioendelea kielimu na jidemokrasia: Maadam Grace Mugabe amepata Dr yake within two months huko Halare Zimbabwe, na baya zaidi mkuu wa chuo hicho ni bwana Robert Mugabe. Watu hapa canada wanacheka na wanasema elimu ya kiafrika bole ikae huko huko!!!
 
Entim

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
3,927
2,000
Siku za nyuma kulikuwa na manneno mengi sana yanazungumzwa kuhusu uongozi wa juu cdm kutotilia mkazo ujenzi wa miundo mbinu ya chama ha haswa majengo ya ofisi za chama kimikoa na hata wilayani.Ilionekana pengine ni kukosa mikakati ama uchakachuliwaji wa fedha na ruzuku zinazoingia chamani.

Katika majibu yake wakati fulani Mh.Mbowe alisema msingi wa cdm kwa sasa upo kwenye kujenga Fikra/fahamu za watanzania ili wajitambue katika kudai haki zao na katika kuona umuhimu wa kufanya mageuzi. Kwa matokeo haya ya uchaguzi wa serikali za mitaa hata kama japo yanaweza yasiwe 50/50, lakina naanza kuukubali uamuzi huu wa Mbowe wakishirikiana na Dr.Slaa.Kwa kweli Watz. wameanza kuamka na kuona umuhimu wa mageuzi ya kisiasa kwa mustakabali wa maisha yao.Yaani mpaka korogwe vijijini wanachagua upinzani!!!! Brovo Mh.Mbowe,!

I can just say that is a power of positive thinking.
Hata hivyo nature inatupeleka pazuri,
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
33,696
2,000
Hai Nyumbani kwa Mbowe CCM wameshinda mitaa yote.
Ni haki yao kikichagua chama chochote wakitakacho ila kwa utashi na sio kwa hila. Tunachoangalia watu wanaelimu na sio kupewa chumvi wala kanga ili watoe kura. Halafu na wewe katafute kazi halali sasa, umri umeenda na ujaujanja wa mjini ndio unafikia mwisho. Piga hela za mwisho mwisho maana chama chako kinachokupa hela za wizi kinakaribia kuondoka madarakani na wewe huna mradi endelevu zaidi ya kutetea upuzi hapa jukwaani.
 
nguvu82

Member
May 28, 2014
37
70
Tunataka midahalo uchaguzi ujao, mbowe ni mzee wa fact thus y ni kamanda, makamanda wote tunapaswa kutii na kutenda yale yote tunayoagizwa tutafika. tujenge tabia ya kuamini voingozi wetu wao wanaona big piture wakati ccm wanaona michoro tu, Hongera UKAWA, msikubali chama chochote kujiunga na nyinyi kwa sasa kitakuja kuwavuruga tu.
 
Not_Yet_Uhuru

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,304
0
Hai Nyumbani kwa Mbowe CCM wameshinda mitaa yote.
MSALANI; Huo ni uhohe-hahe wa mawazo kama kawaida yako, na kujifariji ili tu usikose la kujibu hapa Jamvini...! Hata kama wezi wenzako wameshinda Mitaa yote jimbo la Mbowe (jambo ambalo ni ndoto za mchana), ni kuwa mziki wa Mbowe CCM inalia kila kukicha! ..kwa taarifa yako, wanaojua 'kuwinda' sawasawa wanaanzia mbali kusaka wanamalizia na nyumbani..! CCM itaangamizwa mapori yote na mshale wa mwisho utaimalizia CCM 'nyumbani' Fimbo ndefu ndiyo iuayo Joka (CCM)!
...Mbowe hatimaye ataimaliza CCM jimbo la Hai...kama atakavyoimaliza CCM hapa DSM baada ya kuangamiza ktk mikoa yote...! we kaa chonjo 'mkao wa kuliwa' kama JK alivyokwishawaambieni (nanukuu.."ukila vya wenzio nawe ujuandae kiliwa" - by JK), ...WEWE subiria na jiandae kuliwa na kusaga meno...!
Kuishi kwako kihayawani na kuhemea makombo ya majizi wenzako CCM ndio kunakuponza na wenzio mnakufa taaratiib, kifo cha mende, miguu juu, unabakia kupiga makasia hewani kumbe ndio kwenda kujumla...! CCM inakufa sawia..kuanzia Mikoa yote..na kumalizia DSM Oktoba 2015! Tunahesabu tu Miezi..Wiki...Siku..masaa...dakika..!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom