Recent content by dr mose

  1. D

    JamiiForums Tanzania HESLB,

    thank u all, solved
  2. D

    JamiiForums Tanzania HESLB,

    Hakuna pupa ni swala la kupeana insight
  3. D

    JamiiForums Tanzania HESLB,

    mkuu hiyo sio shida wala, size na dimensions ziko poa, mbona picha ya mwombaji nimerekebisha na imekubali but najaribu different pics za mdhamini na bado inakataa. Namba HESLB nilipiga muda wa kazi haikupatikana
  4. D

    JamiiForums Tanzania HESLB,

    Habari wana Jamvi! Nimepata Changamoto katika ku upload picha ya mdhamini mtandaoni. Kila nikijaribu inakataa na picha ina vigezo vyote. Au ni print fomu hivyo hivyo niibandike kawaida? Ahsante!
  5. D

    JamiiForums Tanzania FORM 6 LEAVERS, PITA HAPA UJIFUNZE KUHUSU KU-APPLY CHUO KULIKO KUSUMBUA SUMBUA WATU.

    Kuna mtu yeyote amefanikiwa kutuma maombi UDSM; Kwa form six aliemaliza mwaka huu?
  6. D

    JamiiForums Tanzania 2019 TCU guide book

    TCU Guide book imechelewa sana, au ile almanac yenye kuonyesha min requirements ndio hiyo hiyo tu? Mwenye majibu tafadhal
  7. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mkopo mnatesa watoto wa familia maskini

    4TH BATCH ITAKUA LINI?
  8. D

    JamiiForums Tanzania third round

    Third round lini?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Turudi Kwenye Central Admission System (CAS) ya TCU

    Mfumo wa sasa unasababisha nafasi finyu ya kuchaguliwa, kwa sababu mtu mmoja anaziba nafasi nyingine zaidi ambazo kwa mfumo wa CAS zingekuwa empty
  10. D

    JamiiForums Tanzania Maoni:Kwa vyuo ulivyoapply, ni chuo gani mfumo wake upo vizuri, chuo gani kirekebishe mfumo wake wa usajili, toa changamoto kwenye mifumo ya usajili?

    pia mfumo wa udahili wa miaka hii miwili ama mitatu kama sijakosea umeonesha usumbufu mkubwa tofauti na ilivyokuwa kwa mfumo uliotangulia wa tcu online application system (OLAS),mambo yalikuwa more systematic na haraka zaidi
  11. D

    JamiiForums Tanzania JIFUNZEE FOREX...UPIGE PESAA...

    For different strategies and indicators, dope, visit forexstation.com Demo your strategy first
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ni lini matokeo ya udahiLi yatatoka, lakini pia ni lini muda wa masomo utaanza?

    applications mpya udom na sua watafungua lini. Someone was late for the first round. Thanks
  13. D

    JamiiForums Tanzania Binary Options Trading

    Trend is your friend
Back
Top Bottom