JIFUNZEE FOREX...UPIGE PESAA...

JIFUNZEE FOREX...UPIGE PESAA...

Ushauri wa bure kwa wanaoanza hii ishu ya forex ni afadhali utafute mentor akufundishe kuliko kukomaa mwenyewe utatumia muda mrefu sana hadi kuja kuwa profitabe...ukikomaa mwenyewe itabid ujaribu strategy mbalimbali hadi uje upate strategy sahihi lakin ukipata mentor mzuri atakufundisha strategy yake ambayo ni profitable kwa muda mfupi...

Unachotakiwa kwa wewe ambae ni new trader ni kujisomea basic forex stuff ukishaelewa tafuta mentor akufundishe strategy

Msije fanya makosa kama niliyofanya mimi nimeifahamu forex kipindi kile ONTARIO ndio kaweka uzi wake nikajifanya kiburi kukomaa mwenyewe hali iloyonifanya nichome accounts nyingi tu.... Mwezi huu ndio nimepata strategy ambayo naona ni nzuri kwangu na itanipa mafanikio

Sasa jiulize nimejaribu strategies ngapi hadi kuipata hiyo moja ambayo ni salama kwangu?? Jibu ni strategies zaid ya 15 na indicators karibu zote
 
That's why kabla hujaanza forex inatakiwa uwe na strategy na plani yako sio ya mtu mwingine pia kuunguza account inatakiwa utest strategy kwenye demo sio kwenye real account ulikosea hapo kuhusu mda nakubali
 
For different strategies and indicators, dope, visit forexstation.com
Demo your strategy first
 
na wajiandae na hasara, waisome forex kimakini, ama sivyo itakuwa vilio tu..
 
Ushauri wa bure kwa wanaoanza hii ishu ya forex ni afadhali utafute mentor akufundishe kuliko kukomaa mwenyewe utatumia muda mrefu sana hadi kuja kuwa profitabe...ukikomaa mwenyewe itabid ujaribu strategy mbalimbali hadi uje upate strategy sahihi lakin ukipata mentor mzuri atakufundisha strategy yake ambayo ni profitable kwa muda mfupi...

Unachotakiwa kwa wewe ambae ni new trader ni kujisomea basic forex stuff ukishaelewa tafuta mentor akufundishe strategy

Msije fanya makosa kama niliyofanya mimi nimeifahamu forex kipindi kile ONTARIO ndio kaweka uzi wake nikajifanya kiburi kukomaa mwenyewe hali iloyonifanya nichome accounts nyingi tu.... Mwezi huu ndio nimepata strategy ambayo naona ni nzuri kwangu na itanipa mafanikio

Sasa jiulize nimejaribu strategies ngapi hadi kuipata hiyo moja ambayo ni salama kwangu?? Jibu ni strategies zaid ya 15 na indicators karibu zote
Unaongopea Umma ,kujisomea mwenyewe ndo unachimna forex kwa undani, pia zile video tutorial zinafanana na mentor kabisa, bye.
 
Forex is not for everyone jidanganyeni tu its not simple in such!
 
Back
Top Bottom