FORM 6 LEAVERS, PITA HAPA UJIFUNZE KUHUSU KU-APPLY CHUO KULIKO KUSUMBUA SUMBUA WATU.

ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,137
2,000
Kwanza niwapongeze wote mliofaulu, na nawaombea mfike mbali na elimu yenu.
Pia si kwamba hatupendi usumbufu wenu, ni haki yenu kuuliza, ila sasa kila mtu akiuliza habari za uwezekano wa kwenda chuo najua kabisa hata wakutoa majibu watachoka kuwasaidia.

Vitu vidogo kama hivi hakuna ulazima wa kuuliza uliza sana, ni kukaa chini pitia documents husika mtandaoni utajua cha kufanya.
Kama mlio mtaani mnambwembwe kiasi hiki, je wenzenu walio makambini JKT wasemaje!! kuweni wapole kama umefaulu basi utasoma tu, na si lazima iwe chuo kikuu hata vyuo vya kati au vua ufundi, cha msingi upate knowledge itakayokuwezesha kuwa na cha kufanya kujiingizia kipato, yes watu wanasoma ili kupata pesa.

Sasa kuna vitu vitatu mnatakiwa kupitia, kuna kitabu kinakuwa na list ya vyuo vyote na programs za masomo zinazotolewa, hicho ni muhimu ukipate, pita mtandaoni TCU website utakipata, baadhi wa watu ma stationeries wanacho hardcopy,
Pia unatakiwa kujua vigezo kwa kila faculty, na tatu jua ku-calculate cutting points kulingana na grades za matokeo yako.

Kuhusu mkopo, hapa jf hakuna mtu wa kukuhakishia kupata au kutopata mkopo.
Ni HESLB wenyewe. Kasome vigezo vyao, angalia faculty ambazo zina priority kupata mkopo (maana si zote) kisha appy hizo kama unataka.

Anza kujipanga sasa kujua unataka kusoma nini na kwa nini ili usije kujutia baadaye kuwa umepoteza muda chuoni.

Unaweza pitia hizo ducuments pia.
View attachment Admissions Almanac for 2019_2020.pdf View attachment 2019.20_ Undergraduate Application Procedure.pdf
 
Old - Hand

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
1,718
2,000
Lengo lako lilikuwa zuuri but badala ya kufundisha we unatoa mwongoza wapi ukape msaada...

Elekeza izo point unazipataje kutafuta n.k
 
ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,137
2,000
Lengo lako lilikuwa zuuri but badala ya kufundisha we unatoa mwongoza wapi ukape msaada...

Elekeza izo point unazipataje kutafuta n.k
Kama kuna mtu atasoma hizo attachments na bado ashindwe kuhesabu points basi atakuwa ni mvivu kupindukia.
Maana zina maelezo yanajitosheleza, mpaka namna ya kuhesabu hizo points.
Zipo chini hapo kwenye post yangu.
Ni swala la kidownload tu na kusoma offline.
 
Old - Hand

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
1,718
2,000
Kama kuna mtu atasoma hizo attachments na bado ashindwe kuhesabu points basi atakuwa ni mvivu kupindukia.
Maana zina maelezo yanajitosheleza, mpaka namna ya kuhesabu hizo points.
Zipo chini hapo kwenye post yangu.
Ni swala la kidownload tu na kusoma offline.
Si kweli braza we umeatach ratiba ya utendaji tu wa nacte... Tarehe na tukio tu hakuna attachemnt ingine angalia teeena vizuuur
 
ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,137
2,000
Si kweli braza we umeatach ratiba ya utendaji tu wa nacte... Tarehe na tukio tu hakuna attachemnt ingine angalia teeena vizuuur
Kuna attachments 2 hapo, angalia kwa makini. Kama unatumia app inaonesha kama zimeungana, moja kushoto na mona kulia.
 
ISLETS

JF-Expert Member
Dec 29, 2012
8,137
2,000
Ili uweze kudahiliwa katika chuo chochote kile kikuu TANZANIA lazima uwe na minimum points of 4 katika masomo yako mawili kwa kozi ambazo ni NON-HEALTH RELATED.

Mfano; HKL ,ili uwe na sifa za kwenda chuo kikuu lazima uwe umepata atleast D D katika masomo yako,hii inamanisha kwamba ili uwe na sifa za kwenda chuo kikuu kwa kiwango cha chini lazima uwe umepata A E,B E,C E LAKINI D E HUTAKUWA NA SIFA.

(NOTE:HUWA WANAANGALIA MASOMO MAWILI TU,AMBAYO YATAKUPA MINIMUM TOTAL OF 4 PTS.)

kozi za afya lazima uwe na minimum points of 6 katika masomo yako yote matatu yanayobeba combination yako.

Mfano, PCB lazima uwe na C D E ambapo C lazima iwe ya chemistry,D ya biology na E ya physics (NI LAZIMA) kwa point hiyo kama umepata div 2 pts 12 PCB na umepata D D D(hauna sifa ,kwa sababu lazima uwe na C ya chemistry)

Angalizo, tunapenda kukuhakikisha kuwa ushauri wa kozi tulizokupa ,zitakufanya upate mkopo kwani 98% ni kipaumbele cha serikali.

KAMA UMESOMA PCB HII INAKUHUSU
Najua na ninatambua kwamba ndoto kubwa ya wanafunzi waliosoma PCB huwa ni kusomea udaktari chuo kikuu.lakini ndoto zao wengi hupotea kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo matokeo mabaya,kuchagua vyuo kimakosa n.k.

Kwa mwaka huu wa masomo ili uwe na sifa ya kusomea udaktari chuo kikuu chochote kile TANZANIA lazima uwe umesoma PCB na umepata

Physics-D,Chemistry-C,Biology-C which gives a minimum points of 8;Hii inamaana kwamba mwisho kusomea udaktari mwaka huu lazima uwe umefaulu kiwango cha DIV 2 PTS 10.

Kama umesoma PCB na haujapata vigezo hapo juu tafadhali ninakuomba usisumbuke kuomba udaktari kwani huwezi chaguliwa.

Kama umepata Div 2 pts 11 hadi Div 3 pts 13 ,kuna kozi nyingi za kuomba tofauti na udaktari,kama nilivyoziorodhesha hapo chini-
Bsc. Pharmacy (lazima uwe na C ya chemistry,D in
biology na E in phys)

Bsc. Nursing (lazima uwe na C ya chemistry,D in biology
na E in phys,Nutrition or mathematics)

Bsc. Medical laboratory science (lazima uwe na C ya
chemistry,D in biology na E in phys)
Bachelor of Science in Optometry((lazima uwe na E ya
chemistry/mathematics,D in biology na C in phys)

Bachelor of Sciences in Health Laboratory
and
Bachelor of Science in Physiotherapy((lazima uwe na C ya chemistry,D in biology na E in phys)

Bachelor of Medical Laboratory Sciences in Clinical Chemistry,

Bachelor of Medical Laboratory Sciences in Hematology and Blood Transfusion,

Bachelor of Medical Laboratory Sciences in Histotechnology,

Bachelor of Medical Laboratory Science in Microbiology and Immunology,

Bachelor of Medical Laboratory Sciences in Parasitology and Medical Entomology and

Bachelor of Medical Laboratory Sciences General
((Kozi 7 hapo juu lazima uwe na C ya chemistry,D in biology na E in phys)

Bachelor of Science in Environmental Health Sciences (BSc EHS) (lazima uwe na C ya chemistry,D in biology na E in phys/Nutrition,mathematics or agriculture,geography)

Kozi zifuatazo lazima uwe na minimum of 4 pts
Bsc. Microbiology
Bsc. Molecular biology & Biotechnology
Bsc. Biotechnology & Laboratory science
Bsc. Food science & Technology
Bsc. Agronomy
Bsc. Animal science & production
Bsc. Wildlife management
Bsc. Veterinary medicine
Bsc. Forestry
Bsc. Agricultural general
Bsc. With Education

KAMA UMESOMA CBG
- Wanafunzi wanaosomea CBG a level wengi wao huwa na ndoto za kusomea nursing,pharmacy na kozi mbalimbali za afya,lakini kwa mwaka huu mambo yamekuwa tofauti sana,wanafunzi walioma CBG wataruhusiwa kusoma kozi moja tu ya afya ambayo ni Bachelor of Science in Environmental Health Sciences (BSc EHS) (ambayo lazima uwe na C ya chemistry,D in biology na E in phys/Nutrition,mathematics or agriculture,geography).

MUHIMU
- Ninakuomba kama hauna sifa ya kusomea kozi ya afya hapo juu tafadhali usiombe kwani itakugharimu baadae kwa kukosa chuo.

- Kozi nyingine ni kama zilivyoainishwa katika wanafunzi waliosoma PCB.

KAMA UMESOMA PCM /PGM
All field of Engineering hasa
Civil Eng,
Mechanical Eng,
Electronics & Telecommunications Eng,
Electrical Eng,Computer Eng,
Agricultural Eng, Irrigation & Water resource Eng,
architecture, Quantity Survey, Geomatics,
Actuarialscience, Computer science, ICT,
Chemical & Processing Eng
Industrial engineering
Petroleum geology, petroleum engineering, petroleum chemistry
Geology,
Engineering geology
Bsc. With Education

KAMA UMESOMA EGM,ECA NA HGE
Bsc. Agricultural economics & Agribusiness
Bsc. Building Econmics
Bsc. Actuarialscience
Bsc. Irrigation & Water res Eng, Agricultural Eng (O level Science)
Bsc. Architecture
Bsc. Geomatics
B. A Economics & Statistics
Bsc. Computer science , Bsc ICT
B.A land management & Valuation
B. A Economics
B. A Accounting & Finance
Bsc. With Education
Procurement
statistics

KAMA UMESOMEA HGL, HGK & HKL

LL. B (B. Law)
B. Land management & Valuation
B. A Human resource management

All course relate with community development & Planning

B. A with Education
B.LAW ENFORCEMENT UDSM

KAMA UMESOMEA CBN ,CBA
- CBN wamepata bahati kwani wao wameruhusiwa kusoma kozi mbili za afya ambazo ni nursing na environment health ambapo inawabidi wawe ni minimum points of 6 in three subjects.Kati ya hayo masomo lazima uwe na C in chemistry,D in biology na E in nutrition.

- Kwa upande wa CBA yeye ameruhusiwa kusoma kozi ya environmental health.

- Kozi nyinginezo ni kama nilivyoainisha hapo juu katika sehemu ya CBG.MWISHO
Napenda kumalizia kwa kuwakumbusha wanafunzi wote mnaotaka kufanya maombi ya vyuo vikuu mwaka huu kwamba application zote zinafanyika chuo husika unachotaka kusoma, maana yake maombi yote itakubidi uyatumie katika chuo unachotaka kusomea.

C&P
 
Old - Hand

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
1,718
2,000
Sio TCU online mkuu?

Au umemaanisha nin kusema maombi yoote yatumwe chuo husika?

Alafu soory mkuu hivi kuna technique gani itakufanya ugundue kuwa kozi flan haina competition katika kuipata?

Mkuu sorry kwa usumbufu... Iyo land management and valuation mbona haipo hata kwenye chuo kimoja ukiangalia kwenye ile guide book...

Au wameibadirisha jina

Ukifanya application online, wanaohusika na kuchagua wanafunzi ni chuo husika ulichojaza, ndio maana hata tarehe za admission huwa zinatofautiana kati ya chuo na chuo maana watu wanaweza kuomba kupitia website ya chuo moja kwa moja.

Competition. Hakuna technique zaidi ya kufanya ulinganifu kwa kutumia vigezo mfano: soko/wepesi wa kupata ajira, tuition fee ya faculty husika, idadi ya vyuo vinavyotoa hizo program na capacity, umaarufu wa hiyo faculty, priority ya kupata mkopo, mfaulu wa ujumla wa watu kwa mwaka husika, nk.

Mfano kwa mtu anayetaka kusoma Doctor in medicine, cutting points kwa Muhimbili na kwingine ni 8, sasa mtu ambaye ufaulu wake unampa jumla ya points 8 ni heri aangalie kusoma kitu kingine au ageukie vyuo kama St. Francis nk maana kila anawazia vile vyuo maarufu. Lakini kama una points 9 au zaidi ni kuomba hukohuko kuliko na ushindani.
 
Ipo mkuu, angalia tena vizuri. Mfano Pita sehemu ya Ardhi University utaiona, kwenye hiyo guide book ni page ya 24.
 
Old - Hand

JF-Expert Member
Apr 9, 2017
1,718
2,000
Ukifanya application online, wanaohusika na kuchagua wanafunzi ni chuo husika ulichojaza, ndio maana hata tarehe za admission huwa zinatofautiana kati ya chuo na chuo maana watu wanaweza kuomba kupitia website ya chuo moja kwa moja.

Competition. Hakuna technique zaidi ya kufanya ulinganifu kwa kutumia vigezo mfano: soko/wepesi wa kupata ajira, tuition fee ya faculty husika, idadi ya vyuo vinavyotoa hizo program na capacity, umaarufu wa hiyo faculty, priority ya kupata mkopo, mfaulu wa ujumla wa watu kwa mwaka husika, nk.

Mfano kwa mtu anayetaka kusoma Doctor in medicine, cutting points kwa Muhimbili na kwingine ni 8, sasa mtu ambaye ufaulu wake unampa jumla ya points 8 ni heri aangalie kusoma kitu kingine au ageukie vyuo kama St. Francis nk maana kila anawazia vile vyuo maarufu. Lakini kama una points 9 au zaidi ni kuomba hukohuko kuliko na ushindani.
Nimekusoma mkuu... Kwa kuwa dogo hvyo vyoote hana shaka navyo.. Na point zake ni tia maji tia maji..

Ngoja asele akasome kichina tu nahisi hakuna competition
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom