Angalia kiwango cha uzalendo kati ya watanzania na wakenya ndipo utakapo gundua kuwa UKAWA hawana nia yoyote njema kwa watanzania zaidi ya kujinufaisha wao binafsi kupata madaraka kwa kutumia "divide and rule method" na hiyo ndo siri hasa ya kutaka serikali tatu hivyo usilinganishe kilicho tokea...
Broo huwa naagiza mikoba ya kina mama na kwa bei ya jumla naiuza 36000 sasa kwa laki tano unaweza pata mikoba 13 na kwa mikoa ya mwanza na dar unaweza kufanya online business kwa kupost pics kwenye social network na mahali pengine kwa marafiki na ndugu kwa 44000 na kupata faida tu brother
Asante sana kaka kwa mawazo yako huenda nikawa nimepata mahali pakuanzia lakini kwenye hilo swala la gari kwa mtaji nilionao kidogo ni ngumu lakini yale magali ya makampuni huwa hayatoi huduma hiyo?
Tupo.
Kama mwana harakati na kiongozi mwenye kutaka uwazi, uadilifu na uwajibikaji mnyika angepaswa kuwa mfano kabla ya kuwa nyooshea wenzake vidole sisi wananchi wa jimbo lake tuna umia na miradi hewa ya maji na barabara ilihali yeye mwenyewe alitoa ahadi sasa tutasema huyu mtu anania njema na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.