Recent content by dr.makarang

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ccm tuonee huruma watanzania

    Salaam wana JF Nimewaza pengine heading hapo juu itakielezea hiki nilichonacho kichwani,maisha ni magumu kiasi kwamba hakili pia inafubaa,hata uwezo wa kufikilia unapungua.CHAMA CHA MAPINDUZI NI WATU ambao pia ni watanzania wenzetu kiuraia ila wazungu kimaisha ,tena kwa fedha zetu watanzania...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Pinda awaagiza UKAWA kurudi bunge la katiba: Asema sio OMBI

    Pinda ametoweka kabisa kwenye siasa za nchi,na wasiwasi na utendaji wake pia ,nadhani amebanwa na mwajiri wake kuhusu mdomo wake......kaja tena na ukawa warudi bungeni,tena kwa mbwembwe za kuzunguka nchi zima endepo hawatarudi...Amwone kapt komba pia wapite msituni kwanza pengine itasaidia.:A S...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wasomi wakutana Karimjee, waazimia kuifuta CHADEMA Vyuo Vikuu

    kama hao ni wasomi wewe una elimu gani
  4. D

    JamiiForums Tanzania Wasomi wakutana Karimjee, waazimia kuifuta CHADEMA Vyuo Vikuu

    wasomiiiiiii yaah ...ni wao kweli
  5. D

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya Tanzania

    nimeshtuka baada ya kuona hujui hata tulipo kosea...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kwa mwanaume kufoka wakati wa tendo la ndoa?

    aiseee hatari,usijisifu unajua mapenzi kumbe kuna kufoka foka style pia
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

    mmh,ni rahisi kufikiri kuliko kuwaza
  8. D

    JamiiForums Tanzania Masikini UKAWA

    Nape huwa ananipa shida sana kuwaza,pengine si mwanadamu.....mmmh...vichwa vya habari vyake,point anazoandika.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Star Tv mnatoa habari ndivyo sivyo

    Kwa kweli binafsi sijapenda taarifa ya habar ya leo,full ccm tu,wamewatafuta wananchi wachovu zanzibar wawaponde UKAWA ,napata shda ni lini watanzania wataamka,mfano chadema,cuf na hata vyama vingne vikichoka kuleta ukombozi.nan atasimama kwa ajar ya wanyonge.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha kujenga chenye HATI kinahitajika maeneo ya Dar

    Tafadhar nipgie.0787202944,kama kweli unahtaji kiwanja
  11. D

    JamiiForums Tanzania Ufisadi CHADEMA: Mamilioni yachotwa kulipia "website" hewa!

    Million 20 pekee or more than that..au umekosea headline?
  12. D

    JamiiForums Tanzania She is not my standard

    Teh teh,kama una degree mbili na umeandika ths topic ukiwa mzima kichwani.!.Basi unamatatzo makubwa kuliko hata ya mtu wa standard 7.
  13. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kusimamisha mgombea Kalenga ni kupoteza muda wao na hela za chama bure..

    Nataman kujua mnaishi maisha gan ninyi mnaoipenda ccm,je mmepanga au mmejenga.wap nyumba ya kwako au kuna fedha za kupewa kutoka kwenye kodi za wananchi?.mna uhuru wd maamuzi au kila k2 kwenu ni ndio mkuu!.familia Zenu zikoje(mama&baba),wanahudumiwa na nani?..vp elimu zenu pia,hata ikibdi nijue...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na wadada wa vyuoni wengi wao ni...

    Nilitegemea atashukuriwa kwa kutoa angalizo kwa mnao penda wa dada wa chuo.any way ukimwi sio tatzo tena nowsday ..lakini mleta maada ameandika point sana na hata sio umbea .reality
  15. D

    JamiiForums Tanzania Waingereza wamgeuzia kibao JK, CCM & serikali ya Tanzania

    Daah,,maranyingine huwa nataman kutofuatilia chochote abt ths country..Watu wanacheka,wanakula na kunywa,wanatuona kama kartoon..we always read,say and sing bt ever thnk about ACTION ....kwa hyo daaah...TUNAAMKA,TUNALALA tarehe zinabadilika pia.
Back
Top Bottom