Kwa hiyo akikiuka sheria za nchi asikamatwe? Hata kama ukiwa Ujermani ukikiuka taratibu za nchi lazima ushughulikiwe,,,,,,Cha kuhoji je Taaratibu zimefuatwa??
Mwantum Mahiza Anastahili kuteuliwa ila kati hao walioteuliwa ni nani hakustahili,,,,,,,Nafasi zilikuwa 26 kwenye mikoa 26 ,,,,,Nadhani ameshika nafasi ya 27,,,,,,Asubir ukuu wa wilaya,,,,,Kisarawe ,Handeni au Chalinze
Nchi imepata rais maana watu wengi hawataki kufanya kazi,, inatakiwa aipeleke kibabe kwa muda wa mwaka mmoja ,hapo ndipo itakapokuwa imenyoka ,,tatizo la letu tukiambiwa kufanya kazi ,,,tunasema huyu jamaa ni dictator acha atunyoshe ,,,,Muda huu sio wa siasa ni muda wa kufanya KAZI,_,,,,,Kwa...
Mkuu contract ya Magufuri ni miaka mitano , sasa HV ana miezi tajribani mitatu lakin wewe unataka ahadi zutimie kwa muda mfupi tu .,muache mzee akusanye kwanza pesa,
Mungu mjalie Huyu jamaa afanye KAZI kwa kujituma ,kwani nchi inaelekea pazuri, yaaani Mh Dr Rais Magufuri ,pamoja na kwamba mapungufu yapo, ila atafanya kazi nzuri zaidi Mara kumi ya waliokuwa wapinzani wake, Nawaomba wapinzani anapofanya vibaya mkosoeni na anapofanya vizuri msifieni,ila jueni...
Acha uchonganishi, kama haistahili kuwa hapo lazima ibomolewe , kwani ni akina nano wanahaki ya kubomolewa nyumba, sheria ifuate mkondo wake bila kujali mapapa, Mbona koko beach, Manji amenyang'anywa, kwani yeye sio papa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.