Recent content by Dr Mabuga

  1. D

    Mkoa unaoongoza kwa kutoa wasomi wengi Tanzania

    Mikoa yenye wasomi wengi ni 1.Kilimanjaro 2.Kagera 3.Mbeya 4.Mwanza 5.Mara 6.Arusha 7.Iringa
  2. D

    Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba Burundi atoroka

    Akijiongezea muda atalaniwa sana hadi kizazi chake cha nne
  3. D

    Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba Burundi atoroka

    Jaji huyo ni makini sana namuunga mkono.
  4. D

    Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba Burundi atoroka

    Hats maendeleo haleti anang'ang'nia tu.
  5. D

    Tukio la kutisha la mauaji ya shushushu Alexander Litvinenko

    Endelea kutuletea zingine , maana hata mimi napenda kufatilia maisha ya hawa usalama Wa taifa au mashushu
  6. D

    Mkopo HESLB

    Ingekuwa bachelor ungepata , Mkopo kwenye level zingine wanatoa Diploma in Primary na in sekondari kama VIP nenda education kama huna uwezo Wa kujisomesha
  7. D

    Rais Kikwete asaini mswada wa sheria ya mitandao na kuwa SHERIA RASMI

    Samahani jamaa alisahau alikuwa na lengo la kuandika ,hatimaye CHADEMA wanachukua nchi 2015.
  8. D

    Kwanini Rais Kikwete hakuongea na wananchi leo?

    Anaogopa sana, kama Leo angetoa hotuba kura za ccm zingepungua zaidi , najua angekwaza tu wapiga kura
  9. D

    Maneno ya Zitto kufuatia vurugu za kwenye Mikutano

    Mnafiki huyu ,atulie dawa imuingie, Amuache na mengi atulie ,wala mengi sio mwanasiasa
Back
Top Bottom