Recent content by dr.m

  1. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Kapewa wizara ya Usafi itakua ikiwajibika kila ifikapo 9 December
  2. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Unaushahidi gani kama kweli zilitengwa hizo Billion 2 au unakubali tu kulishwa maneno
  3. D

    JamiiForums Tanzania CCM yavuruga uchaguzi wa Meya Kinondoni, Polisi waitwa

    Tandikeni hao mbuzi walioleta hao mamluki
  4. D

    JamiiForums Tanzania Baraza Jipya: Pongezi kwa JamiiForums, WanaJF watatu(VERIFIED) waukwaa uwaziri

    Kweli nimeamini ccm ni Taasisi yani kikao cha Juzi tu Lumumba kimeweza kumuandikia JPM baraza la Mawaziri.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Baraza Jipya: Pongezi kwa JamiiForums, WanaJF watatu(VERIFIED) waukwaa uwaziri

    Nape ameteuliwa kuwa waziri kwasabab ali weza kupiga Gitaa akiwa na Magufuli kwenye hafla iliyo fanywa na Wasanii Mlimani city ya kumuaga kikwete.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Malofa ni wabunge wa ccm pamoja na Vibaraka wao kwakua wao ndio walio kataa katiba ya Warioba. Ila siyo sisi wana Ukawa
  7. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Naamini ipo siku nitakuwa Rais wa watanzania, endeleeni kuniombea

    Hata hutaira ni cheo hongera kwa utahira uliotukuka
  8. D

    JamiiForums Tanzania Milioni 50 kila kijiji, laptop kila mwalimu na elimu ya bure kipimo cha kwanza kwa Magufuli

    Ukweli nikwamba wajanja wamepiga pesa Hazina kwahiyo serikali haina hela hivyo inambidi JPM kung'ang'ana na TRA na TPA ilikupata hela za kutekeza ahadi zake kutokana na Mambo kuwa magum tumeona JPM akiruka bahadhi ya ahadi zake kama Kutoa million 50 kwa kila kijiji na Laptop kwa kila mwalimu...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tenda ya kuzoa taka kinondoni ni Lau Masha?

    Jk ameshaondoka na Tenda imekufa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Malecela: Magufuli hatarini

    Kwasababu ya uwozo wake alioufanya
  11. D

    JamiiForums Tanzania Awamu hii itaongeza sana gharama za kitengo cha camera pale magogoni

    Umesema kweli Mkuu maana kila kitu ni kameratu
  12. D

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu akamatwa kwa kuihujumu TANESCO

    Peleka jela Jizi hilo ngoja akaisome Number
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna tofauti kati ya tapeli na mwanasiasa?

    Muulize Mzee wa Msoga
  14. D

    JamiiForums Tanzania Msukuma: Rais Magufuli apige marufuku mikutano ya vyama vya siasa hadi 2019

    Leo msukuma kadhihirisha kuwa Wasukuma ni Mataahira kwa kauli zake mbovu alizo kuwa akiongea Leo.
Back
Top Bottom