Tenda ya kuzoa taka kinondoni ni Lau Masha?

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,037
9,953
Nilisikia mwenye tenda ya kuzoa taka kinondoni ni Lau Masha tena alikuwa na magari ya kisasa kutoka ujerumani na alishajitapa halipwi na serikali bali mtu mmoja mmoja sasa imekuwaje maroli hakuna na yeye haonekani au kazi hailipi?
 
Back
Top Bottom