kodi za watanzania maskini zinatumiwa vibaya kusambaza maradhi ikiwa ni pamoja na virusi vya ukimwi. Huku ni kuendelea kuua watanzania maskini ukizingatia na huduma ya afya ilivyo mbaya, viongozi wetu ni mburura wanaojali matumbo yao na siyo maisha bora kwa waliowaweka madarakani. Huku songea...
haya ni yake huyu mzinzi, mimi wazazi wangu kilimo kimewasaidia kujenga na kunisomesha mimi na ndugu zangu. Yeye kama kageuza ushoga ni kitega uchumi basi aendelee
wunapozungumzia masuala ya ukimwi usiwafikirie wazinzi tu. Kuna wale bibi zetu walioambukizwa wakati wanauguza, watoto waliopata toka kwa wazazi wao, waliobakwa na waliopata maambukizi wakati wa tiba kama kuongezewa damu, hao nao wamejitakia? Hizo dawa ni za maisha yote, ungekuwa wewe ungeweza...
ndo magari yetu huko ruvuma, hilo mbona bado jipya. Kuna daladala hapa songea mjini zimechongewa viti vya mbao a.k.a vigoda. Pia gari kuzimika katikati ya barabara ni kawaida, likiwa linapanda mlima unajiandaa kabisa kwa kuruka maana brake ni shida likianza kurudi kinyume kazi kwako abiria. Hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.