Hivi hii gari huwa trafic na sumatra hawaioni???

RUGIGA

Member
Sep 15, 2013
6
0
Wadau huwa naona trafic wanavochangamkia gari lolote linaloonekana kuchokachoka ilimradi tu wapate chochote kitu,sasa kwa yeyote anaeijua gari hii kwenye attachment atoe comment pengine kwann mpaka leo hii ipo njiani
 
Attachments

 • IMG232.jpg
  IMG232.jpg
  434.4 KB · Views: 2,310
 • IMG219.jpg
  IMG219.jpg
  579.8 KB · Views: 1,902
 • IMG213.jpg
  IMG213.jpg
  742.5 KB · Views: 1,698
Hilo liko iringajini kabisa!!! TZ sheria ni kwa baadh ya watu wengine wanapeta, ukikutana nayo utadhan linatoka shimoni hafu limeandikwa kejeri “VITU LAINI“
 
Mbona hzo gar nyingi mkuu, kama kazi zako unatembelea kanda ya ziwa, hasa kigoma na baadhi ya maeneo ya geita,.. Huo ndo usafir wao.. Na trafiki wanachukua chao kama kawaaaaaa
 
Hiyo imechoka kweli,ila kuna ujumbe nyuma ya gari kuwa inabeba "watu laini".Hiyo gari lazima iko kwenye mikoa ambayo CCM imetamalaki.

Mbona hiyo gari powa kabisa, hapo shida ni uchafu tu, likioshwa hilo powa sana.
 
ndo magari yetu huko ruvuma, hilo mbona bado jipya. Kuna daladala hapa songea mjini zimechongewa viti vya mbao a.k.a vigoda. Pia gari kuzimika katikati ya barabara ni kawaida, likiwa linapanda mlima unajiandaa kabisa kwa kuruka maana brake ni shida likianza kurudi kinyume kazi kwako abiria. Hilo bado zima sana, likipelekwa jalalani mbunge wa nyasa komba anaokota kupeleka huko nyasa anapiga campaign wamchague ameleta usafiri na anashinda. Hata akiokota nchimbi anashinda ubunge songea mjini.
 
Wadau huwa naona trafic wanavochangamkia gari lolote linaloonekana kuchokachoka ilimradi tu wapate chochote kitu,sasa kwa yeyote anaeijua gari hii kwenye attachment atoe comment pengine kwann mpaka leo hii ipo njiani

Mmmmh hakika hiki ni chuma chakavu kinachotembea...nilikuwa nasikiaga tu kuwa na vyuma chakavu vinatembea leo nimejionea!
 
Hilo basi nalifahamu sana lipo iringa kuna maandishi wamefuta,zamani liliandikwa VITU LAINI USILETE UZURI !!
 
ndo magari yetu huko ruvuma, hilo mbona bado jipya. Kuna daladala hapa songea mjini zimechongewa viti vya mbao a.k.a vigoda. Pia gari kuzimika katikati ya barabara ni kawaida, likiwa linapanda mlima unajiandaa kabisa kwa kuruka maana brake ni shida likianza kurudi kinyume kazi kwako abiria. Hilo bado zima sana, likipelekwa jalalani mbunge wa nyasa komba anaokota kupeleka huko nyasa anapiga campaign wamchague ameleta usafiri na anashinda. Hata akiokota nchimbi anashinda ubunge songea mjini.

Heh! wewe utakuwa unaishi matogoro, huko kupeleka gari la maana inabidi uliandike "R.I.P" nyuma, maana ndani ya miezi sita lazima uagane nalo! Njia zingine hazina maana, hata traffic wakisema wabane hakuna mtu yuko willing kupeleka gari huko kwa hiyo wananchi wataadhirika bure!
 
gari lipo IRINGA hili, nilisimama siku moja nusu saa pale standi NALISHANGAA,hadi nikatoa chozi..
Wazungu wanalipiga picha ni kivutio cha utalii kwao.
 
Haaahaa. Mbona hili Zima

Amjiulizi zile breakdown za polisi pale central mshazionahizo za kuanzanazo n tetenasi ukiuliza zaidi unambiwa a afande Riviera...loh
 
kuna moja lipo singida.linapiga trip za kutoka singida mjini kwenda nakihungu, siuyu etc nilipoliona nilitaka kutoa machozi. na hilo likikuacha tu ujue umelala mjini mpaka kesho likirudi
 
Magari kama haya itakuwa yanaenda porini sana ambapo mtu mwingine hathubutu kupeleka bus lake.

Traffic hawana ujanja zaidi ya kuliacha
 
Back
Top Bottom